Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

TCRA wamelala..... hawapimi kiwango na ubora wa huduma anaoupata mteja kutoka kwenye makampuni yanayotoa huduma za simu
ni kweli haya makampuni yanawaibia wateja kwa kujitangazia huduma ambazo hazipo kama wako 4g wagawe line kwa yeyote anayetaka waache usanii
 
Unaenda kwenye ofisi zao na kuwaambia nataka line ya 4G, unajaza form ya kupotelewa line ili ukose ushahidi wa kuwashitaki.

Ati wanajidai kuwa wao wana database ambayo inatambua simu zinazokubali 4g yao. Nahisi Sio kweli!!
4G gani hiyo inazidiwa karibu na mitandao yote ,ila cjui kwa zantel na smart
 
Sijawahi iona ikisoma itakua wanatuibia tu
 
Ndugu yangu kaenda kwa ofisi yao wakamwambia lete simu yako tuangalie kwenye database yetu!! Oooh yes simu yako inakubaliana na 4g yetu(4g ya tigo magumashi inachagua simu).Tangu posta mpaka mwenge hakupata 4g alipofika mlimani city akapata.Alipotoka pale basi 4g ikapotea!!!!!!. .............................................................
Mnajihangaisha tu. 4G ya uhakika isiyo na kwikwi ni ya TTCL tu
 
4G IPO TTCL TU WENGINE FIKS..YA TTCL INA KASI BALAA...HAWA WENGINE WANATUIBIA TU
 
Ni kweli hata Mimi juzi ndio nimejidanganya kwenda kubadilisha na kuweka 4g lakini Sim bado inasoma 3g nashanga sana na hata sijaona Mabadiliko kwakweli....jama Makampuni haya hembu wajitahidi kuboresha hizi huduma zao yani zinakwaza sana...inaleta hasira sana
 
Tigo 4G iko vizuri sana mkuu, basi simu yako ndo tatizo.
Hakuna hawako sawa tigo 4G ni mambo ya biashara tu

Angalia picha hapo namna inavyosumbua na niko kinondoni
b097919051b2b9631a219a0cb00d42fd.jpg
 
Nimeshawahama yao,nipo airtel Kwahiyo cm ya 4G mpaka hawa waitambulishe.Endeleeni kuumia mnaowapenda hao.
 
Nasubiri halotel walete 4g waje kuwamaliza kabisa kibiashara hao wazinguaji, maana 3g ya halotel ni zaidi hata ya hio tigo 4g...
Asikwambie mtu internet ya halotel inateleza kama maji no doubt!
 
Mm nna hyo line yao ya 4G lkn haina tofaut na line ya kawaida


Ndo mana natumia halotel kwenye maaswalaa ya internate
 
Hakuna hawako sawa tigo 4G ni mambo ya biashara tu

Angalia picha hapo namna inavyosumbua na niko kinondoni
b097919051b2b9631a219a0cb00d42fd.jpg
Kwanza 4G inatakiwa iandike LTE mkuu ndo maana nikawaambia hizo simu zenu yaweza kuwa ndo tatizo, mie iko vizuri sana voda ndo inazingua, coverage yake ni ndogo sana.
1e88e443cc8cbbb5ff6719860b204587.jpg
 
Kwanza 4G inatakiwa iandike LTE mkuu ndo maana nikawaambia hizo simu zenu yaweza kuwa ndo tatizo, mie iko vizuri sana voda ndo inazingua, coverage yake ni ndogo sana.
1e88e443cc8cbbb5ff6719860b204587.jpg
Dah aisee yaani mkuu mpaka iandike LTE..!?

Kwani ikiandika 4G kuna tofauti gani maana hiyo LTE wengi hawajui maana yake
 
Ukweli iyoo abali ya 4G imekua niuongo kabssa pia kunavijana wao wanapita. Mtaani. Wanakwambia. Wanaunganisha. Uduma iyoo. Wanakutoza. Pesa. Kisha wanachuku raini yao nakujifanya. Wanakusajilia. Kisha wanakwambia baada ya muda utapigiwa cm nakuunganishwa. Apo. Imekula kwako
 
Yaani hata Mimi nimebadilisha simu na sim card kwa ushauri wa ofisi ya Tigo masaki na kuwekewa zinazoendana na 4G lakini sijawahi kuipata huduma ya 4G
 
Back
Top Bottom