Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

Mimi natumia tigo LTE hakuna kitu ... Nafikiria kuhamia haloteli.. Tigo internet itakuboa tu kaka.. Badili line kama hujaitumia kwa muda mrefu hamia halotel.. Mimi nimetumia tigo miaka kama sita kwa hio ndio maana inakuwa ngumu kuhama ila kuna siku tu nikishaweka mambo yangu sawa nitatupa hii line....
Hamia halotel bila kuchelewa iko vizuri sana.
 
Sasa hivi tigo nimeiweka kwenye simu ili wanaonitafuta kwa hiyo namba wasinikose,lakini bundle zote ni halotel hadi dakika za kupiga. Hapa nilipo mnara wa tigo haupo mbali lakini hata 3g ni tatizo. Halotel hadi shambani ni H+ ikishuka ni 3g.
 
nilichokiona hapa ni Elimu kuhusu 4G pia na aina ya simu mnazotumia mm niko Kahama natumia simu ya Samsung J1 full 4G... mwingine anatumia simu ya line 2 afu unataka sim card zote zisupport 4G kwel?
 
Back
Top Bottom