Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,293
- 31,453
SHIDA NI KUWW wengi wanafurahia matangazo kuliko uhalisia... simu yako kuwa ina uwezo wa 4G huitaji tiGo wakueleze hilo... specs za simu yako zitasema...
Tatizo laweza kuwa hizo simu zenu, niko Kibamba hapa saizi na tigo 4G inapiga kazi vizuri kabisa, kituko ni Vodacom, hata Mbezi haifiki afu speed yake bora hata 3G washenzi sana wale.Simu inayokubali 4G na line ya 4G lakini sijaona hiyo tofauti ya mara tano kwa 3G.
Mtandao unashuka hadi E ukiwapigia wanakuambia njoo makao makuu ukienda hakuna chochote zaidi ya tunashughulika.. na samahani nyinyi sana..!
Duh ubungo ipi iyo nakaa kibamba natoka nayo town hadi kibamba inapiga kaziMkuu mimi nakaa Ubungo 4G haisomi.
ha ha ha haBora tigo kuna huu mtandao unaitwa TTCL 4G yao iko ofisini kwao tu ukitoka sim card haisomi.
Hapana ,mimi nakaa Ubungo uku Tigo haishiki 4G kabisa, Voda inapandisha minara miwili. Hapa natumia Halotel ina speed zaidi ya hizo 4G za tigo na vodaTatizo laweza kuwa hizo simu zenu, niko Kibamba hapa saizi na tigo 4G inapiga kazi vizuri kabisa, kituko ni Vodacom, hata Mbezi haifiki afu speed yake bora hata 3G washenzi sana wale.
Tigo 4G iko vizuri sana mkuu, basi simu yako ndo tatizo.Hapana ,mimi nakaa Ubungo uku Tigo haishiki 4G kabisa, Voda inapandisha minara miwili. Hapa natumia Halotel ina speed zaidi ya hizo 4G za tigo na voda
Unaenda kwenye ofisi zao na kuwaambia nataka line ya 4G, unajaza form ya kupotelewa line ili ukose ushahidi wa kuwashitaki.
Ati wanajidai kuwa wao wana database ambayo inatambua simu zinazokubali 4g yao. Nahisi Sio kweli!!
Mbona mimi ipo powa tuu..Na-enjoy 4G ya TigoMi tangu wameniunganisha sijawahi kupata hiyo 4G yao. Natumia Halotel kusurf
Simu yangu haina tatizo lolote, ngoja nikuwekee speed test nikiwa Posta uoneTigo 4G iko vizuri sana mkuu, basi simu yako ndo tatizo.
Tigo hawana 4g ni magumashi tu. Simu inakuonesha una 4g ila ukiwa una download haina tofauti na Edge.Ndugu yangu kaenda kwa ofisi yao wakamwambia lete simu yako tuangalie kwenye database yetu!! Oooh yes simu yako inakubaliana na 4g yetu(4g ya tigo magumashi inachagua simu).Tangu posta mpaka mwenge hakupata 4g alipofika mlimani city akapata.Alipotoka pale basi 4g ikapotea!!!!!!. .............................................................
Simu yangu haina tatizo lolote, ngoja nikuwekee speed test nikiwa Posta uonehizo ni speed test ya tigo na voda nikiwa posta
Simu yangu voda inasoma 4G na speed ni ya hatari.
Ila tigo haijawahi kusoma 4g hata mara moja. Nishatembelea ofisini kwao mara 2, wanaiswap tu line yangu. Na bado 4g haisomi. Sijui tatizo ni nini.