Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

I always go where it's worth for my hardly earned money! Kwa sasa TTCL nimewapiga chini na bundle yao ya TZS 10K for 10GB kwa wiki, na nimehamia Halotel ambako ni Sh 5000 for 7GB kwa wiki! Kwa maana nyingine, hivi sasa Sh. 10K napata 14GB kwa wiki!

Samahani BabaTTCL, nimelazimika kutoroka nyumbani manake kwa jirani kumenoga zaidi!
Mkuu rudi nyumbani, huko ulipo unaibiwa au unajiibia. 10k kwa 10GB ni sawa na 1k kwa 1GB lakini 5k kwa 7GB ni sawa na 1.4k kwa 1GB. Simple math!! .
 
Kwanza spidi yake ya 4g haipimiki ipo kasi mno na haisumbui hapo sjaongelea 3g yake kingine mabando nafuu bila stress
HALOTEL #ITABAKI KUWA JUUU...
Screenshot_2020-02-15-12-35-03.jpeg
Screenshot_2020-02-15-12-36-38.jpeg
Screenshot_2020-02-15-12-36-16.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa wabongo nnachowapendea akili zao zinasahau kwa haraka sana.

Yaani mara moja...! Paaap.
 
Mkuu rudi nyumbani, huko ulipo unaibiwa au unajiibia. 10k kwa 10GB ni sawa na 1k kwa 1GB lakini 5k kwa 7GB ni sawa na 1.4k kwa 1GB. Simple math!! .
Umechanganya madesa!!! Achana na hayo mahesabu ya kugawanya na kuzidisha na turudi kwenye kujumlisha!

Sh 5000 = 7GB
Sh 5000 + sh 5000 = Sh. 10,000
7GB + 7GB = 14 GB

Kwa maana nyingine, kwa Jirani Sh 10,000 = napata 14GB wakati kwa Baba TTCL napata 10 GB!!! Ulitakiwa kufanya 10/14 na sio 14/10!!!
 
Za siku mkuu wameongeza mara tatu zaidi.

Nilikua nanunua kwa 500 napata 70MB sasa kwa 500 hiyohiyo naona 300MB.

Ninacho furahia ni kwamba kwa 300MB nitazurura whatsapp hadi magroup yanikome.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo unazonunua ni Bando la siku????
Mi naomba warekebishe kwenye Bando la wiki, wapunguze gharama.

Hapa nipo nampango wa kuwahama hawa Tigo. Nimewahi kusoma hapa JF kuwa unaweza kuhama na namba yangu kwenda mtandao mwingine, am working on it. Nataka kupata muda niende ofisi za Airtel ama Halotel....wanipe ufafanuzi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom