Lazma maana wanawekaga hivyo kuangalia muamko wa wateja na matumizi kama wakiona garama humo humo wanakata juu kwa ju
Hayo masharti ya SMS na Dakika kwangu hayaniathiri kwa sababu tangia hapo, dakika huwa sina haja nazo!! Mi laini ya data ni laini ya data, na ya maongezi ni ya maongezi! Btw, hiyo ya GB 15 kwa Sh 5000 kwa mwezi ipo kwenye menu ipi? Kwangu naona 10K kwa 10GB kwa mwezi!!!Halotel wanatoa mb nyingi lakini masharti yao magumu mno,,hapo ndipo wanakera,,
MB 500 kwa Sh 500 saa 24,,hawana dakika wala sms
GB 1 kwa Sh 1000 siku 7,,hawana dakika wala sms
GB 7 kwa Sh 5000 siku 7,,hawana dakika wala sms
GB15 kwa Sh 5000 siku 30,,hawana dakika wala sms,,MB500 za day na 14500 za usiku,, zikiisha 500 usubiri za usiku 😁😁 shenzi kabisa
Inategemea menu. Halotel option nyingi
Hawa jamaa hovyo sana! Sasa kama laini yangu ambayo wameigawa, nimeitumia tangia mwanzoni kabisa mwa miaka ya 2000. Na mbaya zaidi, hata huyo waliyempa inaelekea wala haitumii manake kila nikiijaribu haipo hewani!Hivi kwa nini wanagawaga namba za watu? Yani laini hujaitumia kidoogo tu, wanaagawa?!?!! Inakuwaje hii? Hatuwezi kuwashtaki!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo masharti ya SMS na Dakika kwangu hayaniathiri kwa sababu tangia hapo, dakika huwa sina haja nazo!! Mi laini ya data ni laini ya data, na ya maongezi ni ya maongezi! Btw, hiyo ya GB 15 kwa Sh 5000 kwa mwezi ipo kwenye menu ipi? Kwangu naona 10K kwa 10GB kwa mwezi!!!
Nimeshaikumbuka hii, ni ya kitambo sana lakini tangia hapo nilikuwa sina time nayo manake niliona haina tija! Labda ningekuwa na pesa ya kuchezea ningenunua mara mbili, kwa assumption kwamba, ikiisha 500MB ya first bundle, labda itaendelea kwa second bundle!! Hiyo kitu ingewezekana ingekuwa poa sana manake ukipiga 30K kwa mkupuo unajua una 45GB, 1.5G per day, manake na hizi bundle za kujiunga kila wiki na zenyewe zinatia uvivu.Ni Sh 5000 GB 7 wiki 1
Sh 10000 GB 15 Mwezi
*150*88# kisha namba 3 itakujia ya siku, wiki na mwezi
I always go where it's worth for my hardly earned money! Kwa sasa
Sio uongo mkuu! Nmejaribu kwangu nmekutana na menu ya kibabe! Sasa rasmi naamishia matumizi tigo tena
Namba 6 nimeipenda,,*147*00# then???
Nina mashaka huu uzi umeanzishwa na wakala kindakindaki wa tigo
Kwani hawaruhusu mtu kujiunga zaidi ya mara moja ili kupata MB zaidi kutoka viurushi viwili au zaidi?Nimeshaikumbuka hii, ni ya kitambo sana lakini tangia hapo nilikuwa sina time nayo manake niliona haina tija! Labda ningekuwa na pesa ya kuchezea ningenunua mara mbili, kwa assumption kwamba, ikiisha 500MB ya first bundle, labda itaendelea kwa second bundle!! Hiyo kitu ingewezekana ingekuwa poa sana manake ukipiga 30K kwa mkupuo unajua una 45GB, 1.5G per day, manake na hizi bundle za kujiunga kila wiki na zenyewe zinatia uvivu.
Nice moto
Wala hakuna ubaya mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena la mweziYaani tigo walivyo tufurahisha, hata kama una katochi kama hivi unaweza ukajikuta unanunua bando za data..
Sent using Jamii Forums mobile app