Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Hizi bando nadhani zimeanza usiku kuamkia leo, hadi muda huu menu bado inasoma 300MB kwa 500.. haaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiishoe kusifia tu, bali pia utuambie hizo bando unazozungumzia ni za muda gani?? 24 hours? Wiki? Mwezi? Ama?

Tigo wameongeza sana gharama za vifurushi, ingawa pia wameongeza/boresha vifurushi kama zile dakik za kupiga mitandao yote.

Ila gharama wametuonea wanyonge[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za siku mkuu wameongeza mara tatu zaidi.

Nilikua nanunua kwa 500 napata 70MB sasa kwa 500 hiyohiyo naona 300MB.

Ninacho furahia ni kwamba kwa 300MB nitazurura whatsapp hadi magroup yanikome.
Usiishoe kusifia tu, bali pia utuambie hizo bando unazozungumzia ni za muda gani?? 24 hours? Wiki? Mwezi? Ama?

Tigo wameongeza sana gharama za vifurushi, ingawa pia wameongeza/boresha vifurushi kama zile dakik za kupiga mitandao yote.

Ila gharama wametuonea wanyonge[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawa tigo ambao unajiunga na kifurushi cha wiki kinaisha baada ya masaa 2, bado hamjatupata kwa utaratibu huo nendeni mkajipange upya...mimi halotel imenisaidia zaidi...
 
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo

Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB

Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.

Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.

Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.

Tabutupu
Dodoma,

View attachment 1358100

Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAA WAFANYAKAZI WA TIGOO MNAJITAHIDI KUJISIFIA KAMPUNI YENU KWIKWI HUKOO NGOO NAIPENDA TIGO KWA HILI HAPANAA
 
Hawa hawa tigo ambao unajiunga na kifurushi cha wiki kinaisha baada ya masaa 2, bado hamjatupata kwa utaratibu huo nendeni mkajipange upya...mimi halotel imenisaidia zaidi...
Halotel wanajitahd kwakwel, unatumia MB zako hata zikiisha kwel unaona zimeisha kihalali.
Kizuri zaid hawana mambo ya kubadili badili vifurushi ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ikidumu nitaitangaza kwa wadau warudi tigo, kumenoga.

Screenshot_20200215-091455_Bixby Voice.jpg
Screenshot_20200215-091315_Phone.jpg
Screenshot_20200215-091231_Bixby Voice.jpg
 
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo

Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB

Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.

Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.

Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.

Tabutupu
Dodoma,

View attachment 1358100

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 2000 3gb ni mda gani
 
Tigo baba lao.

Internet weekly bundle

Screenshot_20200215-090720.jpeg

Combo Monthly (Minutes + Data)
Screenshot_20200215-090925.jpeg

Halichachi Home Internet
Screenshot_20200215-091027.jpeg

Internet Monthly
Screenshot_20200215-091123.jpeg
 
Back
Top Bottom