Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Toka jana tigo pesa haifanyi kaziJana walitangaza kwa redio hii offer ya kutuma pesa bure. Inaisha j3 nadhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tgo hamna bure,hata ukituma ndani ya mtandao. Ndo wameweka hyo offer ya valentine jana bt ikiisha utaratibu wa kulipia kama kawaida unarud
Tunaenjoy the momentHiyo ni promo tu ya week end subiri j3 uone mrudi hapa mliotumwa na tigo mtupe mrejesho kesho kutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka jana tigo pesa haifanyi kazi
Ok nijakujua ni kama airtel-airtel FREEKwa tgo hamna bure,hata ukituma ndani ya mtandao. Ndo wameweka hyo offer ya valentine jana bt ikiisha utaratibu wa kulipia kama kawaida unarud
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarudisha wateja nilishasema hapa wataturudi Kwa offer kibao sasa naona maneno yangu yametimia,watu wamewakimbia na wanazidi kuwakimbia wameona hakuna jinsi zaidi ya offer ili wasipoteze zaidi na tuliopo tusisepeKubwa kuliko zote. Jana ukituma pesa gharama za kutuma ilikua zero na VAT zero. Nikajua nimeangalia vibaya, nikapiga muamala mwingine, mwendo ule ule hakuna gharama.
TUPE MENU YAKE
Sio uongo mkuu! Nmejaribu kwangu nmekutana na menu ya kibabe! Sasa rasmi naamishia matumizi tigo tena
Mimi wananipa 250 mins all network, SMS 100,3.5 GB weekly kwa 1,500/=……… I'm really surprised