Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo

Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB

Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.

Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.

Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.

Tabutupu
Dodoma,

View attachment 1358100

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba menu ya hizi bando... Hiyo ya 2000 inanifaa mkuu...

Wanatupooza kwa maumivu ya wiki jana
 
Huu uongo wa kiwango cha PhD, wadanganye watumiaji wa ttcl, ila sio sue tunaomiliki line, tunashindwa kutupa tu, coz inajulikana na watu Muhimu, ila nikiwazoesha kupiga kwa airtel, itakuwa imeisha hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa tigo haiwezekani wakaleta bando kama hazi. Natupa line yao...
Screenshot_20200216-084339.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo

Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB

Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.

Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.

Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.

Tabutupu
Dodoma,

View attachment 1358100

Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu najiurudia nyumbani nimechoka na mateso ya hawa Airtel mtandao mwendo wa kobe jjinga gani huu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I always go where it's worth for my hardly earned money! Kwa sasa TTCL nimewapiga chini na bundle yao ya TZS 10K for 10GB kwa wiki, na nimehamia Halotel ambako ni Sh 5000 for 7GB kwa wiki! Kwa maana nyingine, hivi sasa Sh. 10K napata 14GB kwa wiki!

Samahani BabaTTCL, nimelazimika kutoroka nyumbani manake kwa jirani kumenoga zaidi!
Safiii
 
Hawa tigo haiwezekani wakaleta bando kama hazi. Natupa line yao... View attachment 1359182

Sent using Jamii Forums mobile app

Blaza umeona non-logical applicability ya hizo bando za 2000 na 1500?

Eti ukitoa 2000 unapewa GB 2 au 3 kwa masaa 24...
Wakati huohuo kwa 1500 unapewa GB 3.5 zinazodumu week nzima.

Hivi mtu na akili yake timamu ataacha bando la bei ndogo (1500) lenye GB nyingi na linadumu week nzima kisha anununue bando expensive (2000) tena linadumu siku moja tu??

Ni naona kuna misconfiguration ya bundles kutoka kwa VAS team ya TiGo na muda Si mrefu wata revert back.
 
Kuna kitu wanafanya kuvuta wateja. Then watatudi kule kule
 
Kubwa kuliko zote. Jana ukituma pesa gharama za kutuma ilikua zero na VAT zero. Nikajua nimeangalia vibaya, nikapiga muamala mwingine, mwendo ule ule hakuna gharama.
Naona Manager na Marketing officer kazini.. Ujumbe umetufikia wateja na Mimi naenda kufufua laini yangu ya Tigo.
 
Blaza umeona non-logical applicability ya hizo bando za 2000 na 1500?

Eti ukitoa 2000 unapewa GB 2 au 3 kwa masaa 24...
Wakati huohuo kwa 1500 unapewa GB 3.5 zinazodumu week nzima.

Hivi mtu na akili yake timamu ataacha bando la bei ndogo (1500) lenye GB nyingi na linadumu week nzima kisha anununue bando expensive (2000) tena linadumu siku moja tu??

Ni naona kuna misconfiguration ya bundles kutoka kwa VAS team ya TiGo na muda Si mrefu wata revert back.
Nimenunua kifurushi cha 1500 nimepewa 1.5GB badala ya 3.5Gb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Manager na Marketing officer kazini.. Ujumbe umetufikia wateja na Mimi naenda kufufua laini yangu ya Tigo.

Una bundle, simu yako, charge ipo sawa, uhuru wa kuongea unao..unaweza kusema chochote mkuu. Hiyo line yenyewe niliyonayo ya tigo ni kwa vile nilikua nayo zamani watu wengi wanayo lakini sio nnayoitumia sana.
 
Wanakupa GB nyingi ila ukiingia tu kwenye net dakika moja wanazichukua zote![emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom