talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,458
- 2,836
Mkuu hapa Tanzania au nje ya nchiSijawahi kulipishwa na mtandao wingine kwa kutuma pesa.
Usisifu humu uwezo huna eti 10000 kwa mwezi utadhani unazo sana[emoji23][emoji23]Nakiri Tigo wametukumbuka. Kupata GB 10 kwa Tshs. 10,000 tu kwa mwezi ni ukombozi.
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo
Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB
Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.
Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.
Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.
Tabutupu
Dodoma,
View attachment 1358100
Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi bando nadhani zimeanza usiku kuamkia leo, hadi muda huu menu bado inasoma 300MB kwa 500.. haaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana walitangaza kwa redio hii offer ya kutuma pesa bure. Inaisha j3 nadhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutuma tu, wangefanya na kutoa bure ingekua bomba sana.Ahsante sana kwa taarifa. Hii offer inaishia kutuma tu au na kutoa pia?
Kweli wanawapiga hadi hiyo mnasheherekea? Angalia airtelHizi bando nadhani zimeanza usiku kuamkia leo, hadi muda huu menu bado inasoma 300MB kwa 500.. haaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app