Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Na ukiangalia karibuni wote waliongezewa bundle....
Hazifanani...
Mwingne anapewa dk nying anabanwa Mbs..and vice versa..

Mwingne Anapewa MBs hapewi dk and vice versa..

Mwingne anapewa Cha wiki mwingne siku...
n.k n.k

Pia nahisi hii ofa ni ya usumbufu ya Tigopesa iluyotokea janaa..

Kuna uwezekano waifute soon...
km umepewa cha week jiongeze mapema

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nina kama miezi 4 sasa wameniondolea hivi vya siku kwenye size yako.

Ila ninafurahia kwa sababu nilikuwa napata cha 30,000 kwa dakika 2,400 mitandao yote na GB 11.

Kilichokuwa kinanitesa ni GB, maana hizi zinaisha ndani ya siku 10, ila midakika mpaka nawaachia watu watumie kupiga simu yangu
 
Mimi kwenye saizi yako mwanzoni walinipa 250 mins all network, SMS 50,1.5GB weekly kwa 1500...This time wananipa 250 mins,SMS 100,3.5 GB weekly... Sijawahi hama tigo.
Speed yao ya internet ikoje mkuu? Maana nasikia sehemu nyingi iko slow sana.
 
I always go where it's worth for my hardly earned money! Kwa sasa TTCL nimewapiga chini na bundle yao ya TZS 10K for 10GB kwa wiki, na nimehamia Halotel ambako ni Sh 5000 for 7GB kwa wiki! Kwa maana nyingine, hivi sasa Sh. 10K napata 14GB kwa wiki!

Samahani BabaTTCL, nimelazimika kutoroka nyumbani manake kwa jirani kumenoga zaidi!
Hii halotel line ya chuo ama izi za kawaida?

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo

Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB

Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.

Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.

Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.

Tabutupu
Dodoma,

View attachment 1358100

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_4137.JPG
Shida iko hapo sasa
 
Huko kote hamna kitu , lain ya tgo nimeshaweka uvunguni baada ya kuitoa saiz yako wakabak na mb 70 nikajarbu kuunga mb 70 wakanambia sina salio , ikabid nitumie salio aisee , speed yenyewe mwendo wa Kobe kuuliza customer care majibu hayaelewek , ninehamia halotel na MEGA BANDO
Screenshot_2020-02-15-10-40-06-457_com.android.phone.jpg
 
Kwa sasa kwa jero unapata 300MB. Unataka nini mkuu?
Huko kote hamna kitu , lain ya tgo nimeshaweka uvunguni baada ya kuitoa saiz yako wakabak na mb 70 nikajarbu kuunga mb 70 wakanambia sina salio , ikabid nitumie salio aisee , speed yenyewe mwendo wa Kobe kuuliza customer care majibu hayaelewek , ninehamia halotel na MEGA BANDO
View attachment 1358215

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom