Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo
Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB
Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.
Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.
Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.
Tabutupu
Dodoma,
Sent using Jamii Forums mobile app