Tiger Wood apata ajali mbaya ya gari, akimbizwa hospitali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,670
218,172
Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake .

Huenda akafanyiwa upasuaji .

======

Bingwa mara 15 wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amepata ajali ya gari Los Angeles na anafanyiwa upausaji kufuatia majeraha ya miguu aliyopata

Kwa mujibu wa ripoti, gari ya Woods (45) imeharibika vibaya na alitolewa na vikosi vya zimamoto pamoja na huduma ya kwanza ya Afya

Imeelezwa alikuwa hai na anajitambua katika eneo ambapo ajali imetokea.

Chanzo: Woods has surgery after car crash

1614139778165.jpeg
1614139850650.jpeg

1614139894710.jpeg
 
Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
Lakini si wanasema jamaa ni tajiri. Sasa katika mamilioni yake ya dola. Kutoa hio kadola milioni 1 ndio kumemuuma!?
 
Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
Lakini si wanasema jamaa ni tajiri. Sasa katika mamilioni yake ya dola ..kutoa hio kadola milioni 1 ndio kumemuuma?
 
Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
You're just a liar!

Tiger ana hali ileile ya maisha ambayo tulikuwa tukiisikia.

Media za kidaku na news channels zinakupa kile unachokitaka bibi.
 
Mgongo wake pia hauko vizuri just recently he had the 5th surgery on his back.

Baada ya divorce alipitia wakati mgumu na alishuka sana kwenye game. Comforter wake alikua baba yake ambae siku zote alimwambia asikate tamaa angali anaishi. Alikuja kushinda tournament baada ya mazishi ya baba yake alilia sana uwanjani.
 
Best his divorce settlement was more than $1 million. She got one of TW’s beautiful and expensive houses as well as financial settlement.
Lakini si wanasema jamaa ni tajiri..Sasa katika mamilioni yake ya dola ..kutoa hio kadola milioni 1 ndio kumemuuma!?
 
It was 2017 at Augusta after all Golf analysts concluded that he won’t win another tournament.
Baada ya divorce alipitia wakati mgumu na alishuka sana kwenye game. Comforter wake alikua baba yake ambae siku zote alimwambia asikate tamaa angali anaishi. Alikuja kushinda tournament baada ya mazishi ya baba yake alilia sana uwanjani.
 
Best his divorce settlement was more than $1 million. She got one of TW’s beautiful and expensive houses as well as financial settlement.
Bado analipa chaild care costs kila mwezi na amenunua nyumba karibu na mtalaka wake ili awaone watoto Kiu rahisi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
That is very true. but I think they share custody of their children.
Bado analipa chaild care costs kila mwezi na amenunua nyumba karibu na mtalaka wake ili awaone watoto Kiu rahisi.
 
Back
Top Bottom