Tido Mhando aula Al Jazeeera

Tido Mhando aula Al Jazeeera

kama kapata huko bora azamie.......Ukimfungia mlango mtu upande mmoja Mungu anamfungulia kwingine tu.
 
Hiyo idhaa inapatikana kwenye masafa gani????au yeye ndio muanzilishi????kama alivyoianzisha TBC1 frm TvT
 
Blue Balaa hawezi kujidhalilisha kwa habari kubwa kama hii, halafu iwe ya kutunga!
Naamini ni kweli, na Hongera kwa Tido...Sijasikia kama ALJAZEERA wana idhaa ya Kiswahili!

Mkuu PJ.

Nimewahi kusika mahali sikumbuki vizuri kwamba Aljazeera wataanzisha idhaa ya Kiswahili kama sikosei makao makuu yatakuwa Nairobi kenya.
 
Lolote lawezekana kwani Tirdo Mhando exposure yake ni kubwa sana ni watanzania pekee ndiyo wanaoweza kubeza hayo lakini kwa wachambuzi na wafuatiliaji makini kama Aljazeera utagundua hawajafanya kosa.Kiswahili tunakidharau sisi kwa kuwa hatujui tulifanyalo, kumbe kishwahili ni RASILIMALI ADIMU duniani hadi Aljazeera wamegundua kuwa wakianzisha kipindi watapiga bao ukanda wa Africa Mashariki.

Usishangae baade ukaja kusikia kiswahili ni lugha ya taifa ya KENYA.Maana hapa kina JK wanadharau kiswahili utafikiri ni Waingereza.Kazi kwelikweli
 
Yatakuwa Kenya Nairobi.

http://bizextras.wordpress.com/2011/05/24/al-jazeera-to-launch-a-swahili-tv-channel/

← So who invented M-Pesa?

[h=1]Al Jazeera to launch a Swahili TV channel[/h]MAY 24, 2011 BY BIZEXTRAS 1 COMMENT

Rate This​

Below is some information Bizextras has landed on Al Jazeera plans to set shop in Kenya.
We are in the process of verifying this information and any additional word on the deal
…The influential television news channel from Qatar has negotiated the rights to install a base in Nairobi in the next few months so that it can cover the whole of East Africa.
Several Al Jazeera officials went to Nairobi in April to meet the director of information, Ezekiel Mutua, his chief Bitange Ndemo, Principal Secretary of the ministry for information and communication, together with other representatives of the Kenyan government.
At the end of their negotiations, Al Jazeera obtained the licences necessary to launch a television channel in Swahili based in Nairobi.
The Qatari channel now only needs to wait for the frequencies to be attributed by the Communications Commission of Kenya (CCK) before it can begin broadcasting in the next three or four months towards East Africa.
It already has an office in the Kenyan capital, whose journalists have the job of gathering news from all over the region, but depends on the Kenyan stations Citizen TV and Gospel TV which broadcast its content, frequently very late at night.
Al Jazeera is counting on an initial investment of 30 million shillings (€250,000), which will double in two years so that the Swahili language programming can be distributed via cable and satellite.
The reception has to be good in quality in order to compete with the international television channels already receivable in East Africa.
In doing so, the Qatari channel will compete with the Swahili programming on the international radio services, like the BBC and Voice of America.
Its arrival will also upset the Kenyan media groups operating radio and TV stations, such as the Nation Media Group (NMG) owned by the Aga Khan Foundation and Royal Media Services (RMS) owned by the magnate Samuel Kamau Macharia.
 
Katika Biblia kuna pahala panasema.."Watamtazama yeye waliyemchoma"!
Wabongo wamemtemesha kazi, halafu mara anaula tena kwa mafao ya juu zaidi!...Sijui kama watamwita nyumbani tena in future!
Aibu kwa nani?
 
Hongera mzee tido...mafisadi walikuchezea penati lakini mungu hamtupi mja wake..
 
Wakenya wataendelea kuwapiga bao wabongo mmekalia kuwadhibiti CDM wakati investment opportunities zinakwenda kenya ina maana hata ajira zitakwenda kwa wakenya kwanza, kulingana na masharti ya uwekezaji.wa-TZ kazi tunayo, hata watalii wanaanzia kenya ndiyo wa-cross kuja bongo sisi tumekaa tu.Serikali ya ajabu sana hii
 
"Nabii huwa hakubaliki wao" tunashindwa kuwatumia wachapa kazi wazuri...ona sasa anakwenda kuendeleza idhaa nyingine na kuliacha TBC likipoteza umaarufu kila kukicha!!
 
Kama ni kweli hongera bro Tido,.Ndiyo raha ya kuwa competent hiyo!
 
← So who invented M-Pesa?

[h=1]Al Jazeera to launch a Swahili TV channel[/h]MAY 24, 2011 BY BIZEXTRAS 1 COMMENT

Rate This​

Below is some information Bizextras has landed on Al Jazeera plans to set shop in Kenya.
We are in the process of verifying this information and any additional word on the deal
…The influential television news channel from Qatar has negotiated the rights to install a base in Nairobi in the next few months so that it can cover the whole of East Africa.
Several Al Jazeera officials went to Nairobi in April to meet the director of information, Ezekiel Mutua, his chief Bitange Ndemo, Principal Secretary of the ministry for information and communication, together with other representatives of the Kenyan government.
At the end of their negotiations, Al Jazeera obtained the licences necessary to launch a television channel in Swahili based in Nairobi.
The Qatari channel now only needs to wait for the frequencies to be attributed by the Communications Commission of Kenya (CCK) before it can begin broadcasting in the next three or four months towards East Africa.
It already has an office in the Kenyan capital, whose journalists have the job of gathering news from all over the region, but depends on the Kenyan stations Citizen TV and Gospel TV which broadcast its content, frequently very late at night.
Al Jazeera is counting on an initial investment of 30 million shillings (€250,000), which will double in two years so that the Swahili language programming can be distributed via cable and satellite.
The reception has to be good in quality in order to compete with the international television channels already receivable in East Africa.
In doing so, the Qatari channel will compete with the Swahili programming on the international radio services, like the BBC and Voice of America.
Its arrival will also upset the Kenyan media groups operating radio and TV stations, such as the Nation Media Group (NMG) owned by the Aga Khan Foundation and Royal Media Services (RMS) owned by the magnate Samuel Kamau Macharia.

source
Al Jazeera to launch a Swahili TV channel « Bizextras
 
Back
Top Bottom