Ipo mbioni kuanzishwa na itakuwa Nairobi, ndio mwanzo wa kuaibika kwa serikali ya magamba kwa kumstaafisha bila hoja yenye nguvuBlue Balaa hawezi kujidhalilisha kwa habari kubwa kama hii, halafu iwe ya kutunga!Naamini ni kweli, na Hongera kwa Tido...Sijasikia kama ALJAZEERA wana idhaa ya Kiswahili!
God opens door no one can shutHuwezi amini lakini hiyo ndo habari! Tido ameukwaa ukurugenzi wa al jazeera chanel ya kiswahili!
Kwa hili inawezekana kabisa,Tido ana uzoefu wa muda mrefu RTD, BBC, TBC na wengi ya wafanyakazi wa Al Jazeera ni ex BBC.Tunamtakia mema Tido.
wayaweke bongo na kama hawa jamaa wakiweka idara ya kiswahili itakuwa safi hawatafuni sana maneno

ndio inaanzishwaBlue Balaa hawezi kujidhalilisha kwa habari kubwa kama hii, halafu iwe ya kutunga!Naamini ni kweli, na Hongera kwa Tido...Sijasikia kama ALJAZEERA wana idhaa ya Kiswahili!