Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
nimeamka na mshangao, huyu huyu Tido.....he was once a bad guy akiwa TBC, leo naona sifa nyiingi na watu tuna sympasize......suddenly he is a nice guy!
Kazi kweli kweli
Kanuni zilitaka apewe notice of reminder kuwa amebakisha miezu 6 mkataba wake kuisha barua hiyo ingeandamana na kipengele cha intent iwapo mwajiri alikuwa bado anahitaji huduma yake hivyo kumpa fursa kutafakari kama yuko tayari kuendelea.Thanks mkuu nilikuwa sifahamu hili, lakini je usipopewa hiyo notice inamaanisha unakuwa automatically eligible kwa mkataba mwingine? Na mwajiri akikosa confidence na wewe say wakati mwezi mmoja wa kumaliza mkataba umebakia na 6 months notice haikutolewa inakuwaje hapo?
i will never do this if i love my country... politicizing professions!!!
Kazi itangazwe na yeye aombe... kwani alikujaje kutoka huko UK, was the process competitive??
Kila kazi lazima ishindanishwe....
Kweli kabisaa, dont regret Tido. CNN au VOA watakuchukua soonTido nenda Tido, huna haja ya kutafakari what next kwani umeacha legacy itakayokujemgea heshima.
Big up Tido.
nilishawaambia mkwere kwa visasi hajambo, mbona tutaona mengi, sijui jf tutasalimika kweli? Si ndio tutaitwa weekleaks wa bongo?
Kina Aci mnakosea mnaposema watu wamegeuka, hapa kuna watu wengi sana na maoni yetu pia ni mengi na tofauti sana, pamoja na kuwa yanaweza kugeuka pia. Ila wale wasiomkubali pia wapo, na waliokuwa wanamkubali pia wapo.
Pia kuna kina sie ambao hatuangalii jina, bali vitendo, mie nakubali baadhi ya vitendo vyake na baadhi sikuvikubali, nakubali amefanya kazi kubwa mpaka TBC imekubalika. Huyu ni mwana CCM, na alijitahidi sana kujivua ili aweze kuifanya kazi ya umma, kuna wakati alishindwa. Binafsi nilikuwa napenda vipindi vyao wakati bunge linaendelea, watu tulipata uchambuzi wa wiki nzima bungeni.
Documentaries za kitanzania zimekuja juu ukiacha za STAR tv ambazo kwangu ni za juu zaidi.
Ametupa thamani ya kodi yetu kwa TBC.
Ilinipa hofu wakati walipokuwa wanamtuma Shelembi mitaani huko na mambo ya ajabu ajabu yanafunuliwa na wananchi nilianza kuhisi hiki kitu hakitadumu, na kweli naona ndio basi tena. Ila moto uliouwasha hautazimika. pamoja na mapungufu yako, I hope watu uliowascout hawatatolewa kukufuata!!!!
Wakati anazima mikutano ya Chadema pale jangwani alifikiri ni vizuri. Mifisadi itakuwa ilikasirishwa na midahalo ya wagombea kwenye uchaguzi wa 2010.
Hili ni mfano wa jambo ambalo katika nchi nyingine wananchi wangekuwa mitaani wanaandamana.
Afadhali umeliona hilo. Ninashangaa watu humu wapokuwa general kwamba "watu wamegeuka"! Ni lini JF ilitoa msimamo kwamba haimpendi Tido? Ni vyema Acid na wenzako mkajua kwamba hapa kuna watu wengi sana, kwa hiyo kutoa judgement kuwa watu wana msimamo fulani inabidi uwe specific sana. Heri ungesema "Sinkala umegeuka" au "Invisible umegeuka" na ukaweka quotes za misimamo ya zamani. Kuna watu humu hawachangii mara kwa mara, kwa hiyo ukiwaita kuwa wamegeuka wakati hawakuchangia hiyo hoja unayosema wamegeuka, utakuwa haujawatendea haki!
Nilikuwa nafuatilia magazeti ya leo yalivyokuwa yanasomwa pale TBC, lilipofika gazeti la Mtanzania, mtangazaji hakuisoma ile habari ambayo ndiyo imebeba gazeti hilo badala yake akasoma nyingine ndogo. Jambo hili limenifanya nijiulize sana, si rahisi kuiacha habari kuu. Suala lingine linalonifanya nijiulize, ni kwa nini gazeti la Mtanzania limeweka font size kubwa sana kwenye hiyo habari? Imesomeka "Tido ang'olewa TBC"
madrasa bwana daa!Mimi naona watakaoumia kwa dhati kabisa katika wapinzani ni CUF, maana CHADEMA tayari wanachombo chao cha ITV ambacho kiliapa kutotangaza kampeni za CUF na kujikita kidhati kabisa kui promote CHADEMA! sasa hii itakuwa imekula kwa CUF!!! ndio siasa hizi waache walale tu na siasa zao za Unguja na Pemba....