TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

Nina bro wangu mmoja alikuwa anapenda sana pale ay na gk wanapomtongoza demu wa tid.... Its a very very long time
Pale club kile kipande AY na GK wanatongoza kila msichana wanayemuona. AY alikuwa amevaa Kofia fulani hivi, Dem mmoja akamchamba AY we vipi muone Kwanza Kofia Kama muuza Madafu. Yani Hilo neno I'll never forget
 
Back
Top Bottom