tid

  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TID akanusha kushindwa kulipa bili Kitambaa Cheupe

    Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata. Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua. TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania TID kama angejua ku shake kama Michael Jackson hakika wa bongo tungekoma

    Huyu jamaa jaribu kuangalia nyimbo zake zote , anastruggle sana ku shake ile ya ki Michael Jackson lakini ndio hivyo.. imemkataa..
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  6. Mullykim

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Tasker lager la Kiswahili

    Hivi unakumbuka tangazo la TUsker klager, aliimba TID, linaongelea kuhusu "Twende Pamoja ni wakati wetu" Ni kama hili, ingawa hili ni la Kenye wamefanya kwa Kiingereza. https://www.youtube.com/watch?v=gJl_q_Twt34 Kama mtu anajua pa kulipata em tusaidie kuweka link. Asante
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Siamini TID

    Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Wajua pendo letu lilipotoka Si mbali sana mpenzi siwezi me sema Milima na mabonde Mengi tumeshuka (ooh) Maneno mengi walisema Kote bara visiwani (oh oh) Kidani cha moyo wangu (oh oh)...
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania TID: Makonda alinachafua sana kwenye ishu ya madawa ya kulevya

    Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau! TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

    Msanii mkali kama anavyojiita TID mnyama ,ameweka wazi kiasi alicholipwa kwenye movie mahiri miaka ya nyuma "Girlfriend" 'Walinilipa laki 5 kwenye movie ,ni pesa nyingi kwa kweli wakati huo, lakini walinichezesha main actor bila Mimi kujua" Amefunguka Mnyama huyo hatari zaidi ya simba...
  10. U

    JamiiForums Tanzania TID na usemi wa ''Ni Yeye'': Je, ni kweli kuna haki ya umiliki wa maneno ya kawaida ya Kiswahili ambayo yamekwepo kwenye matumizi karne nyingi?

    Katika siku za karibuni katika mitandao ya jamii, huyu msanii TID amekuwa habari kuwa huu usemi ni wake kwa yeye ndio mbunifu na kufika kusema ameuandikisha cosota hivyo ana haki nao katika matumizi. Hili limenifanya niwaze, je ni kweli kuna haki ya maneno ya kawaida ya kiswahili ambayo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo TID alivyomlilia Rais Mstaafu Mkapa, inasikitisha sana

    Kama ambavyo Watanzania wengi tulivyoguswa na msiba huu mzito wa Kitaifa, wasanii wetu pia wameguswa.
  13. H

    JamiiForums Tanzania TID awataja wasanii wabovu

    Mwanamziki TID a.k.a Top In Dar amewataja wasanii ambao kwa maoni yake, amewaona si wasanii wazuri. 1. Abdu Kiba 2. Ommy Dimpoz 3. Mwasiti 4. Ben Pol
  14. Squidward

    JamiiForums Tanzania TID Awapa Onyo Azam TV kucheza filamu yake ya Girlfriend. Awadai Millioni 300 kwa kukaidi.

    Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya kurusha filamu yake ya Girlfriend bila ya kibali maalumu. Maneno yake yanasomeka kama ifuatavy...
Back
Top Bottom