OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Nimeipenda hiyooo
Japo hairudishi uhai lakini nerves zingepoa
Nimeipenda hiyooo
Huku wanalawitiwa,kule wanauwawa, watoto wetu wapi watakuwa salama. Pole kwa wazazi wa mtoto aliyeenda kupata ilimu akatolewa maisha yako.
Basi kazi kweli kweli.kuna mtu wa karibu sana na muhusika anasema ustaadh alikuwa anasoma qur'an ndani ,hao watoto walikuwa nje wanapiga kelele yeye alipotoka alimshika mmoja na kuingia nae ndani na ndipo alipochukua kisu na kumchinja,na wala hakukimbia alijifungia ndani na watu walivunja dirisha kisha mlango ndipo walipomuua na wala hakuwa mwanafunzi wake,wanaomjua wanasema ustaadh wakati mweingine akili zake huwa zinamruka,yaani kuna kipindi anakuwa chizi fresh.
Source:mtu wa karibu na muhusika.
Yes some! !!!!!!
Are you one among those with partial understanding????!!!!!
kwani unafikiri kwa nini wenye akiri za socrates hatuwapendi hawa watu wenye imani kali za aina hiyo?. nenda marekani wakihisi tu una imani kali wanakufuatilia kila mahali mpaka wakujue vizuri. watakujua kila kitu mpaka harufu ya ushuzi wako, volume ya ushuzi wako, unajamba mara ngapi kwa siku, unakula vyakula gani n.k. ogopa sana watu wenye imani kali za kidini.
kuna mtu wa karibu sana na muhusika anasema ustaadh alikuwa anasoma qur'an ndani ,hao watoto walikuwa nje wanapiga kelele yeye alipotoka alimshika mmoja na kuingia nae ndani na ndipo alipochukua kisu na kumchinja,na wala hakukimbia alijifungia ndani na watu walivunja dirisha kisha mlango ndipo walipomuua na wala hakuwa mwanafunzi wake,wanaomjua wanasema ustaadh wakati mweingine akili zake huwa zinamruka,yaani kuna kipindi anakuwa chizi fresh.
Source:mtu wa karibu na muhusika.
CYBERTEQ tuambie basi, chanzo ni nini?

No, Im a non believer!
Id say the majority has partial understanding, sehemu kubwa ya mafundisho nayoyasikia kwenye media ni violence, and they are all quoted from the scriptures!
kote wanalawitiwa na kote wanauawa. Mifano hai ipo
Ninaomba usalama wa taifa kwa unyenyekevu na uadilifu mkubwa wachunguze kwa kina madrasa zote maana nasikia kuna ukatili mkubwa unaofanyika dhidi ya watoto wa kiume kama kuingiliwa kinyume cha maumbile. Naomba uchunguzi ufanyike kubaini hili.
Isije kuwa wamefcha jina aliyeuawa anaweza kuwa MKRISTO
waandish wa habari fuatilieni hilo kwa karibu
sidhan km angekuwa mwislam wangeshindwa kutaja hata jina moja
magaidi walaaniwe
Isije kuwa wamefcha jina aliyeuawa anaweza kuwa MKRISTO
waandish wa habari fuatilieni hilo kwa karibu
sidhan km angekuwa mwislam wangeshindwa kutaja hata jina moja
magaidi walaaniwe