Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
mh! Huu uongo. Hadi volume ya ushuzi?wanapimaje?
mhhhhh....lbd kweli mkuu,,hawa watu kwenda mwezini wameweza,watashindwa kau.shuzi?
Tena ushuzi wa gaid?
mh! Huu uongo. Hadi volume ya ushuzi?wanapimaje?
Ok!!!
Hao wachache unaowasikia wakihubiri hiyo violence kwenye media mimi nawaita "some" wewe
umeamua kuwaita "majority" wanaotumia "scripture" may be!!!!!
Sasa sijui Qur'an nayo umeiweka humo kwenye scripture?????!!!!!
Kwa mfano kamchinja mtoto aliyeitwa Ally Thabit una maoni gani???!!!!
Ndiyo Mkuu, nieiweka humohumo kwenye scriptures, au nimekosea Mkubwa?
sina maana ya kuwa wakristo n bora kuliko waislamu
namaanisha serikali yaweza kuwa inaogopa joto la kidini ambalo lilishaanza kupoa
lasivyo laana itawatafuna wambagala,geita zanzibar waliochinja watu km mnofu wa bata mzinga
Hii dini yetu hii ndio maana wanatuita magaidi haya maalim mengine bila shaka yameletwa na chadema/ccm ili yatuchafue sisi waislam safi, lakn kwa hakika watashidwa kwa uwezo wa Allah
Inshaallah! RIP mtoto
Hivi imeshajulikana kwa nini alifanya uamuzi huo?
Kama ni "scriptures" kwa maana ya religious writtings basi Quran si moja ya vitabu vinavyohubiri violence!!!!!
Sasa mkuu inakuwaje asilimia 99 ya magaidi wa kiislam wanasema wanatetea dini, na kwamba wakifa watakwenda mbinguni?
Na vipi kuhusu mistari ya kichochezi iliyoko katika quran? Mistari inayohimiza kuwakata vidole na kuwakata vichwa wale "wasioamini"!!!!?
Takbiil alahwakbal chinjaaaa!! Mh! Kweli hawa watu wana roho za ajabu pamoja na kwamba ni tukio linaloweza kutokea mazingira yoyote lakini na iman yao pia duuuu!!!
Nimesubiri ufike hapa kwa muda mrefu sana!!!!!!
Asilimia 99 ya unaowaita magaidi unaitoa kwenye population (N)ipi mkuu???!!!!
Hao wanaitwa magaidi au wanajiita magaidi???!!! Kwa nini jina hili na sio jingine???!!!
Unasema wanatetea dini "may be" ipi lakini???!!!!
Hiyo unayoiita mbinguni ni wanaenda kwa violence basi genocide ya great lakes imepeleka wengi!!!!!!
Hivi yule nabii (Issa ibn Mariam/ Yesu/ Jesus Christ/ Mungu mwana) aliposema kuwa kama kuna msafi arushe jiwe alikemea kupiga mawe au alikumbusha kuwa kupiga mawe si mbaya ila apige aliye msafi tu!!!!????
Ukiweka mistari ya kichochezi iliyomo humo utakuwa umenisaidia sana!!!!
Wamesema ni mafundisho ya dini yakeHivi imeshajulikana kwa nini alifanya uamuzi huo?
Asilimia 99 naitoa kwenye popilation ya magaidi na makundi ambayo yameshawekwa kwenye orodha ya magaidi kama alqaeda, alshabaab, boko haram, Islaic Jihad, LRA na makundi mengine ya kiuwaji, humo ndiyo namoitoa hiyo 99%
Unaweza kuchagua kuwaita jina jingine litakalopendeza malengo, wapigania uhuru, watu wa mungu, lakini mii nafuata jina rasmi ambalo ni WALETA KIHORO tu!
Wanasema, si mimi nayesema, wanasema wao wanatetea dini, sasa sijui ni dini gani wanayosemaga
"Takibir...Allah Akbar", ?!!
Hayo ndiyo mafundisho yao ukifa unampigania mungu unakwenda mbinguni, kama genocide imepeleka wengi basi ndiyo hivo!!
Huo mstari wa yesu nimeusahau mpaka nikaazime biblia kwa jirani.
Quran (8:12) - "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them"
Good,jikumbushie huo mstari then tutaendelea sababu compare and contrast inakuwa nzuri tunapoongelea hiyo violence pande zote!!!!!!
Otherwise ni crticism inakuwa ambayo sasa hapo mie sio mzuri wa ku criticize "imani" sio dini za wengine!!!!
Takbir - Allah akbar ni kiarabu na lugha ni symbolic sasa "kuna mungu mwana, mungu baba na roho mtakatifu" mathalani na hapo Yesu anaingia, waumini wa imani nyingine wanaona sio sawa sababu interpretation ya "mungu" ni symbolic itakuwa hiyo maneno uliyoleta?????!!!! Wanaposema Mungu mkubwa mathalani wanamaanisha mwana ,baba, roho mtakatifu au mungu yupi???!!!!!
Hivi wakati wa Genocide 1994 waliuana watu wa dini zipi???!!!! Kulikuwa na traces za terorism???!!Au just violation of human rights na piece distortion???!!!!
Waleta kihoro sawa as you wish,mbele ya nani???!!!!Umesoma habari ya Guantanamo na waliomo in connection with the "BAPTISTS"???????
m'mungu anamsamehe alietokwa na akili pia haustahiki wewe kujiita muislam safi,muislam safi anayemjua ni yeye mwenyewe m'mungu,jiite tu muislam inatosha.Hii dini yetu hii ndio maana wanatuita magaidi haya maalim mengine bila shaka yameletwa na chadema/ccm ili yatuchafue sisi waislam safi, lakn kwa hakika watashidwa kwa uwezo wa Allah
Inshaallah! RIP mtoto
kwani unafikiri kwa nini wenye akiri za socrates hatuwapendi hawa watu wenye imani kali za aina hiyo?. nenda marekani wakihisi tu una imani kali wanakufuatilia kila mahali mpaka wakujue vizuri. watakujua kila kitu mpaka harufu ya ushuzi wako, volume ya ushuzi wako, unajamba mara ngapi kwa siku, unakula vyakula gani n.k. ogopa sana watu wenye imani kali za kidini.