Duh! Wewe ushakufa wadudu! Tukuache tu!
Kwani hiyo kuchinja ni ruhusa kutoka kitabuni au jamaa kajichukulia sheria mkononi?
Kisa cha nabii Ibrahim...na Ismail!!!!!!!May be...
Wale wanaochinjana wana "vendetta" zao , sasa with this poor kid kaka ni maajabu ya kusononesha kabisa!!!!!!
Mwenyewe nimeshangaa hapo!
Hadi sasa narudia uzi nijue sababu ya mwalimu kuchinja sijaipata bado! At least maelezo yako yananiambia kama habari za ushirikina zinahusika!!!!
Na sio ugaidi! Ugaidi for what?
no need to explain hii kitu kaka case nyingi za kuchinjana ni kuw na mambo ya iman or mtu kupandwa na roho ya ajabuNajaribu kupaelewa hapa...
Najaribu kufananisha na vile wafanyavyo magaidi tuwaonao kwenye filamu za kimagharibi...
Najaribu kufananisha na vile tuonavyo video clip kutoka mashirika makubwa ya habari namna wanajeshi wa nchi za magharibi wakichinjwa...
Somebody please explain....
Wangemkamata tu na baba wa mtoto naye japo amchinje tu!!!!!
I bet chanzo ni kitabu alichokimbia nacho, story kamili umeipata?
kuna mtu wa karibu sana na muhusika anasema ustaadh alikuwa anasoma qur'an ndani ,hao watoto walikuwa nje wanapiga kelele yeye alipotoka alimshika mmoja na kuingia nae ndani na ndipo alipochukua kisu na kumchinja,na wala hakukimbia alijifungia ndani na watu walivunja dirisha kisha mlango ndipo walipomuua na wala hakuwa mwanafunzi wake,wanaomjua wanasema ustaadh wakati mweingine akili zake huwa zinamruka,yaani kuna kipindi anakuwa chizi fresh.Hivi imeshajulikana kwa nini alifanya uamuzi huo?
Some?.....seriously!?
Mkuu inasikitisha ujue..
Nadhani hapo juu ulitaka kurejelea kisa cha Ibrahim na Isaka, lakini kisa kile kilikuwa baina ya baba na mwana kama kipimo cha imani ya Ibrahim aliyonayo kwa Mungu wake...
Sasa huyu mwalimu naye alitaka kukopi na kupesti ama, kwa nini asingefanya kwa mwanaye au mwana wa nduguye???
kuna mtu wa karibu sana na muhusika anasema ustaadh alikuwa anasoma qur'an ndani ,hao watoto walikuwa nje wanapiga kelele yeye alipotoka alimshika mmoja na kuingia nae ndani na ndipo alipochukua kisu na kumchinja,na wala hakukimbia alijifungia ndani na watu walivunja dirisha kisha mlango ndipo walipomuua na wala hakuwa mwanafunzi wake,wanaomjua wanasema ustaadh wakati mweingine akili zake huwa zinamruka,yaani kuna kipindi anakuwa chizi fresh.
Source:mtu wa karibu na muhusika.