Ticha amchinja mwanafunzi

Ticha amchinja mwanafunzi

Kama ni mbagala ya dar,ndo ile laana imeanza.
RIP mtoto wa madarasa.
 
Akili yako ina uwezo zaidi ya huu hebu ishughulishe huko aaaaaaargh uuulize tu kama nasari skuli???!!!!!
I like to know what is being put forward without assumptions.

Na utanuna sana but nisipoelewa nitaulizaaa.

Chitupit indiid.
 
Kwani hii habari ni mpya au ndio ile ya toka juzi?
Ile ya juzi ilieleza sababu za huyo mwalimu kumuua mtoto huyo!
 
I like to know what is being put forward without assumptions.

Na utanuna sana but nisipoelewa nitaulizaaa.

Chitupit indiid.

Haaaa so nikisema tu ndio inakuwa kweli? ?????!!!!!
Lucky me kupata mfuasi wa ninacho put forward kwake hewalaaa hataki kuwa na doubts!!!!

Mie nikununie wewe mrimbwende,keep dreaming!!!!!!!
 
Alisema baada ya mwalimu kumuua mwanafunzi wake wa kiume alichukua kisu alichotumia pamoja na msahafu na kukimbia.

Najaribu kupaelewa hapa...

Najaribu kufananisha na vile wafanyavyo magaidi tuwaonao kwenye filamu za kimagharibi...

Najaribu kufananisha na vile tuonavyo video clip kutoka mashirika makubwa ya habari namna wanajeshi wa nchi za magharibi wakichinjwa...

Somebody please explain....
 
Haaaa so nikisema tu ndio inakuwa kweli? ?????!!!!!
Lucky me kupata mfuasi wa ninacho put forward kwake hewalaaa hataki kuwa na doubts!!!!

Mie nikununie wewe mrimbwende,keep dreaming!!!!!!!

Hahaaaa. Haya boss.
 
Nahisi huyo dogo alihoji maandiko, jamaa akaamua kusema "allah akbar" na kumchinja (na mbinguni anaenda huyu)!!...dah hizi dini zinaleta majanga sana, tuachaneni nazo jamani, makanisa na misikiti tuyageuze shule za mitaa.
 
Najaribu kupaelewa hapa...

Najaribu kufananisha na vile wafanyavyo magaidi tuwaonao kwenye filamu za kimagharibi...

Najaribu kufananisha na vile tuonavyo video clip kutoka mashirika makubwa ya habari namna wanajeshi wa nchi za magharibi wakichinjwa...

Somebody please explain....

Mwenyewe nimeshangaa hapo!
Hadi sasa narudia uzi nijue sababu ya mwalimu kuchinja sijaipata bado! At least maelezo yako yananiambia kama habari za ushirikina zinahusika!!!!
Na sio ugaidi! Ugaidi for what?
 
Najaribu kupaelewa hapa...

Najaribu kufananisha na vile wafanyavyo magaidi tuwaonao kwenye filamu za kimagharibi...

Najaribu kufananisha na vile tuonavyo video clip kutoka mashirika makubwa ya habari namna wanajeshi wa nchi za magharibi wakichinjwa...

Somebody please explain....

Kisa cha nabii Ibrahim...na Ismail!!!!!!!May be...
Wale wanaochinjana wana "vendetta" zao , sasa with this poor kid kaka ni maajabu ya kusononesha kabisa!!!!!!
 
Nahisi huyo dogo alihoji maandiko, jamaa akaamua kusema "allah akbar" na kumchinja (na mbinguni anaenda huyu)!!...dah hizi dini zinaleta majanga sana, tuachaneni nazo jamani, makanisa na misikiti tuyageuze shule za mitaa.
Mbingu ipi???!!!
Aliyeota mwenyewe alishushiwa mwanakondoo itakuwa huyu habith l'amal????!!!!
Dini zinaweza kuwa na majanga yake lakini hazistahili public ridicule basing on such a "personal" case!!!!!!
 
Nahisi huyo dogo alihoji maandiko, jamaa akaamua kusema "allah akbar" na kumchinja (na mbinguni anaenda huyu)!!...dah hizi dini zinaleta majanga sana, tuachaneni nazo jamani, makanisa na misikiti tuyageuze shule za mitaa.

Duh! Wewe ushakufa wadudu! Tukuache tu!
Kwani hiyo kuchinja ni ruhusa kutoka kitabuni au jamaa kajichukulia sheria mkononi?
 
Back
Top Bottom