Prof Tibaijuka ni jembe na anaheshimika sana
tatito apa lipo kwa aliemchagua[/QUO tatito apa lipo kwa aliemchaguaTE] ndo mzee wa aya mamigogoro..mf kigamboni ni sawa na kumpa Prof tibaijuka kisu akamchinje tembo hana la kufanya pale kwan tunajua who is behind that project! migogoro ya wakulima na wafugaj
alishaur ata mwaka jana kua wafugaji watengewe lunch na wauze 25% ya mifugo yao kila mwaka lakin walimbeza kwan akili za wasukuma na wamasai ni kuona mifugo inaongezeka bila kujua malisho hakuna.
.Halima Mdee alichokipresent pale sio kibaya ila tatizo ni kuingilia mambo ya UN pale ni wivu tu wa kike na inaonesha jinsi upinzan tunavyokosa mwelekeo km binadamu lazima ajibu propaganda kwa uzito uleule japo wamefanikiwa kwa " if u cant convince them confuse them"
ningekua mie ndo tibaijuka ningekataa hii post
na kuwaachia watu dizain ya ABAS MTENVU kwan hawa ndo waswahili na wanaweza fanya kaz na mswahil mwenzao
tatito apa lipo kwa aliemchagua ACHA UTOTO KWA ELIMU YAKE YA UPROFESA ALIPASWA KUFANYA SWOT ANALYSISI NA KUAMUA KUTAFUTA SHUGHULI ININGINE YA KUFANYA KAMA VILE CONSULTANCY NK BADALA YA KUNGOJA KUAIBIKA KIASI HIKI, HII HOJA HAINA MASHIKO.
alishaur ata mwaka jana kua wafugaji watengewe lunch na wauze 25% ya mifugo yao kila mwaka lakin walimbeza kwan akili za wasukuma na wamasai ni kuona mifugo inaongezeka bila kujua malisho hakuna. INONEKANA HAUJUI HATA KAZI YA WAZIRI NI NINI, KAZI YA WAZIRI NI KUONGOZA WIZARA KUBUNI MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA SERA ZILIZOPO, KAZI YA WABUNGE NDIO KUSHAURI. SASA TIBAIJUKA ALISHAURI KAMA MBUNGE AU WAZIRI? NA KAMA ALIONA USHAURI WAJE HAUKUBALIKI NI KWANINI ALIENDELA KUBAKI KUSUBIRI HII AIBU?
ningekua mie ndo tibaijuka ningekataa hii post HILI NDILO ULILOACHA KUSEMA TOKA MWANZO NA HAWEZI KUACHA HIYO POST KWA SABABU INAMUWEZESHA KUJINUFIASHA BINAFSI