Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

Yaan kashindwa kujibu hoja za kigamboni badala yake ametumia mda mwingi kumattack mdee
 
Niseme tu jamani, ingawa siyo wote ila wahaya wanapenda sifa sana. Huyu mama Tibaijuka sijaona kama amejibu hoja zaidi ya kujipamba tu na sifa za kijinga. Kwenye RED Mdee kashinda mbili bila!!!
Ahahaha! haya bwana mkuu ingawa bi mkubwa ameniaibisha sana leo.
Hadi nikawa na hofu pengine alikuwa katika hali ya kilevi.
 
Waziri wa ardhi na makazi Prof. Tibaijuka kasema alicheka wakati Mbowe anachangia kwa sababu eti sio hoja ni kelele. Kauli hii ilimfanya spika Makinda amkatishe waziri aende kwenye hoja. Na pia aliendelea kukatishwa baada ya kuonekana kutojibu hoja kwa kuendelea na kushambulia wapinzani.

Hivi wewe zinakutosha kweli? unaweza kumlinganisha Prof. na mdee mwenye elimu ya kuvua chupi? Tena unathubutu kutudanganya eti alikuwa akikatishwa na Mh.Spika, hujui kuwa hayo yote ni majembe ya Serikali iliyoko madarakani? Ujinga wako umekithiri kiasi kwamba unasifu na visivyokuwa vyako, si umsifu hata yule Wenje alivyokanyagwa na Mh. Membe? au yule mzee wa Interahamwe anayeongea kama anatafuna mapeas mabichi. Kama huyu hakutoshi si umuongelee Slaa mwizi wa sh.mil.140 za chama chake? na mzinzi namba moja Tanzania?
 
jamani mama yetu kiukweli tuache ushabiki kachemka. kashindwa kabisa kujibu hoja sana yeye kuonekana ndo anapiga kelele tu na kubaki kujisifia kwa uongozi wake anaodai wa kutukuka
 
Leo ndo nimeamini wahaya kujisifia kuko damuni,
Ameanza kutoa wasifu wake badala ya kujibu hoja.

unajua alichokiandika Halima kuhusu wasifu wa Tiba - alikuwa anampa ufahamu sio majigambo
 
Anajisifiaaaaaaa tuuuu
Hakuna hojaaaa aliyoijibu .
Amejikita kujibu hoja binafc za halima mdee.

Ameshindwa kutoa mwelekeo ni jinsi gani suala la upimaji linaweza fanyika inasikitisha anasema suala hilo haliwezekani...

Hivi huyu ni.prof. kweli!!!!

Leo umeniangusha prof. Tibaijuka.
Umeghafirika na kushindwa kuwa on point na hoja .
Kwa kweli nimemuangalia huyu profesa, muda wote badala ya kujibu hoja za msingi, yeye muda mwingi amejikita kwenye kujikita kwenye mashambulizi binafsi kwa Halima Mdee na Freeman Mbowe!!

Hadi Spika Makinda, amekerwa na tabia hiyo ya Tibaijuka, hadi mara kadhaa akamuonya Waziri Tibaijuka na kumuelekeza arudi kwenye kujibu hoja za msingi za wizara yake, hata hivyo Profesa Tibaijuka alikuwa akimpuuza Spika Makinda, na kuendeleza mashambulizi binafsi dhidi ya Halima Mdee na Freeman Mbowe!!
 
Mama mwongo huyo! Alikuja na mbwembwe za Kigamboni City, akaja na Makongo juu na Goba, lakini wapi!
 
Zungumzieni Ma Slaa mzinzi na mwizi wa fedha za ujio wa Papa, mbowe mjinga mjinga adiye na elimu, wenje mkenye, lipumba nayeongea kama aliyenigwa mfupa wa samaki

Wewe lazima utakuwa wa shule za kata!
 
hivi wewe zinakutosha kweli? Unaweza kumlinganisha prof. Na mdee mwenye elimu ya kuvua chupi? Tena unathubutu kutudanganya eti alikuwa akikatishwa na mh.spika, hujui kuwa hayo yote ni majembe ya serikali iliyoko madarakani? Ujinga wako umekithiri kiasi kwamba unasifu na visivyokuwa vyako, si umsifu hata yule -------- wenje alivyokanyagwa na mh. Membe? Au yule mzee wa interahamwe anayeongea kama anatafuna mapeas mabichi. Kama huyu hakutodhi si umuongelee slaa mwizi wa sh.mil.140 za chama chake? Na mzinzi namba moja tanzania?


mtu asiye na hoja daima ni kutoa matusi tu ili wenye hekima zao wahamishe hoja na kuanza kumjadili. Ushindwe kabisa.

Tunasema busara imuongze mwenye elimu na si elimu uongoze mwenye busara.

Kuwa na elimu kubwa sio ndio uwezo. Unaweza kuw na elimu ndogo lakini busara yakutosha
 
mama tiba amekiri kuwa anafrastruesheni, sasa kuna haja ya kuwa na waziri mgonjwa (aliyechanganyikiwa)
 
Unataka watu wenye akili zetu tuongee haya unayotuambia au tuwaongelee hawa?

What the f is wrong with you ccm people.
(
There is nothing Wrong with my mind, it is true under the sun that; you opposition you are completely lost, you fail even how to distinguish between the fake nad orignal. How can you compare Prof .and layman like Mdee. the iliterate one? . you guys go forbid.(Hata kiingereza chenyewe hujui, unapost kilugha) , eti nawewe mageuzi) Majanga haya.
 
Mimi hadi huwa inafikia wakati naona elimu yetu ya Tanzania haina maana. Huyu mama na waziri wa Dhahabu na umeme wanayo yasema na utendaji wao ndio unathibitisha ninachokisema. Ifike wakati rais asitishwe na Cv za kwenye makaratasi kuna watu wana Cv kubwa kichwani bogus bora hata Form six kama Mnyika. Mlinganishe Mnyika au Mdee na Tibaijuka au Muhongo wanavyo jenga hoja ndio utajua na maanisha nini. Niliwahi kuandika uzi hapa unaeleza kwamba wasomi wengi wa Tanzania hawana faida kwa taifa, ukafutwa ila kuna siku utakuwa na maana.
 
Tunaongea vizuri,lakini mwakani utakuta watu wameamua kuipa ccm kura,nawaogopa watanzania katika maamuzi miye!
 
wale wa upande wa pili mbona hawajachangia hapa. au nao wanasupport jinsi Prof. alivyochemka
 
Back
Top Bottom