segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,788
- 731
Una macho huoni je utafikiri kweli? Kwa kifupi hili tutalipiga zaidi ya gesi ya mtwara. Leteni makomandoo wenu mara hiiHakuna umeme uliokqtika labda vibatari vyenu vimezima
Una macho huoni je utafikiri kweli? Kwa kifupi hili tutalipiga zaidi ya gesi ya mtwara. Leteni makomandoo wenu mara hiiHakuna umeme uliokqtika labda vibatari vyenu vimezima
(
There is nothing Wrong with my mind, it is true under the sun that; you opposition you are completely lost, you fail even how to distinguish between the fake nad orignal. How can you compare Prof .and layman like Mdee. the iliterate one? . you guys go forbid.(Hata kiingereza chenyewe hujui, unapost kilugha) , eti nawewe mageuzi) Majanga haya.
Hivi wewe zinakutosha kweli? unaweza kumlinganisha Prof. na mdee mwenye elimu ya kuvua chupi? Tena unathubutu kutudanganya eti alikuwa akikatishwa na Mh.Spika, hujui kuwa hayo yote ni majembe ya Serikali iliyoko madarakani? Ujinga wako umekithiri kiasi kwamba unasifu na visivyokuwa vyako, si umsifu hata yule Wenje alivyokanyagwa na Mh. Membe? au yule mzee wa Interahamwe anayeongea kama anatafuna mapeas mabichi. Kama huyu hakutoshi si umuongelee Slaa mwizi wa sh.mil.140 za chama chake? na mzinzi namba moja Tanzania?
Badala ya kujibu hoja yeye anapambana na Halima Mdee
That's too low for an ex-Executive Director of UN-HABITAT! CCM inamfanya kila msomi kuwa mjinga!
Mipasho ya msomi duuuuuuuh spika mwenyewe amechoka
Yaan kashindwa kujibu hoja za kigamboni badala yake ametumia mda mwingi kumattack mdee
Leo ndo nimeamini wahaya kujisifia kuko damuni,
Ameanza kutoa wasifu wake badala ya kujibu hoja.
Ndo maana huwa nasema kuwa "wasomi" ndio wanaoiharibu nchi hii!!!!
nimeona kwa macho yangu
na hao ndio viongozi wa ccm ni majanga majanga majanga wala hauhitaji
kudig out source ya umasikini ktk nchi hii
That's too low for an ex-Executive Director of UN-HABITAT! CCM inamfanya kila msomi kuwa mjinga!
NILISHASEMA NINA UHAKIKA kwamba TIBAIJUKA NDIYO WAZIRI MBOVU KULIKO WOTE KATI YA WALIOPO HIVI SASA , KILA MTU AMEJIONEA AIBU ILIYO MPATA , MAKINDA AMEJARIBU KUMWOKOA LAKINI IMESHINDIKANA , AIBU YA LEO SIJAWAHI KUONA !
Sasa kama waziri kivuri ndie anayeanzisha mipasho unategemea nn? Halima mdee analeta mambo ya utendaji wa Tibaijuka huko UN anategemea nn hapo? Shame of Shodow minister
Tibaijuka anapointi nzuri lakini amepotoka kumjibu mdee as a person. Economist Tibaijuka Mdee ni mwanasheria - wanatabia ya kumtibua mtu ili APOTEZE LENGO AU MWELEKEO
mawaziri wabovu ni kama ifuatavyo na namba zao:
1. Mzee wapiga tu
2. Division 5 (Kawambwa
3. Chiza
4. Mipasho- mama wa jinsia na watoto
5. Tibaijuka (yani utafikili huyu mama si prof. Hovyo kabisa. Nimemfananisha na prof musola,mwakyembe-kwenye katiba na shivji ata lile li dr bana)
Marekebisho kidogo, Ccm haiwafanyi wasomi kuwa wa wajinga maana tayari wamesoma bali wanafanywa kuwa wa....vu au kama misukule