Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Waziri wa ardhi na makazi Prof. Tibaijuka kasema alicheka wakati Mbowe anachangia kwa sababu eti sio hoja ni kelele.

Kauli hii ilimfanya spika Makinda amkatishe waziri aende kwenye hoja.

Na pia aliendelea kukatishwa baada ya kuonekana kutojibu hoja kwa kuendelea na kushambulia wapinzani.
 
Badala ya kujibu hoja yeye anapambana na Halima Mdee
 
Dakika zake zote anamjibu Halima mdee sijui wengine awakuchangia akiamungu hii Serikali.......!!!!
 
Tibaijuka anapointi nzuri lakini amepotoka kumjibu mdee as a person. Economist Tibaijuka Mdee ni mwanasheria - wanatabia ya kumtibua mtu ili APOTEZE LENGO AU MWELEKEO
 
Tibaijuka abanwa kwa ufisadi wa chasimba,mdee ni ndiye waziri wangu kwa sasa.
 
NILISHASEMA NINA UHAKIKA kwamba TIBAIJUKA NDIYO WAZIRI MBOVU KULIKO WOTE KATI YA WALIOPO HIVI SASA , KILA MTU AMEJIONEA AIBU ILIYO MPATA , MAKINDA AMEJARIBU KUMWOKOA LAKINI IMESHINDIKANA , AIBU YA LEO SIJAWAHI KUONA !
 
Anajisifiaaaaaaa tuuuu
Hakuna hojaaaa aliyoijibu .
Amejikita kujibu hoja binafc za halima mdee.

Ameshindwa kutoa mwelekeo ni jinsi gani suala la upimaji linaweza fanyika inasikitisha anasema suala hilo haliwezekani...

Hivi huyu ni.prof. kweli!!!!

Leo umeniangusha prof. Tibaijuka.
Umeghafirika na kushindwa kuwa on point na hoja .
 
huyu mama kahamishwa kwenye hoja na halima mdee. Halafu anamshambulia na hii bajeti yake sidhani kama itapita
 
Chama cha mafisadi oyeeeeeeeeeeeee!
Tibwaijuka ni zombi la karne wakuu.
 
Huyu ni Profesa uchwara nimemsikiliza anamwaga pumba tupu

kapoteza mwelekeo kuhusu Halima LAKINI amejibu kitaalamu sana kama mchumi kuhusu migogoro ya wakulima na wafugaji - mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe.
 
Mheshimiwa waziri wa ardhi, nyumba na makazi PRO. ANNA TIBAIJUKA amejikuta katika wakati mgumu kujibu hoja za wabunge hasa kambi ya upinzani baada ya kushindwa kujibu hoja muhimu za wabunge waliochangia katika hotuba yake ya bajeti na kushikwa na jazba nzito kwa kuwa- attacked personally. fuatilia mjadala wa bunge jioni hii.
 
Nilipo mcheki alipokuwa anaanza nikajua hajiamini wisho nikahukumu,haka kabajeti hakapiti.
Mdee jembe!
 
Back
Top Bottom