Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

Kitu ambacho watanzania wengi ningependa mjue ni kuwa Prof. Tibaijuka na Dr. Asha-rose Migiro walishindwa kazi za UN wakarudishwa bongo. JK anatumia rejects! Mungu Ibariki CCM!
 
Kitu ambacho watanzania wengi ningependa mjue ni kuwa Prof. Tibaijuka na Dr. Asha-rose Migiro walishindwa kazi za UN wakarudishwa bongo. JK anatumia rejects! Mungu Ibariki CCM!

asante kwa taarifa mkuu .
 
Waziri wa ardhi na makazi Prof. Tibaijuka kasema alicheka wakati Mbowe anachangia kwa sababu eti sio hoja ni kelele.

Kauli hii ilimfanya spika Makinda amkatishe waziri aende kwenye hoja.

Na pia aliendelea kukatishwa baada ya kuonekana kutojibu hoja kwa kuendelea na kushambulia wapinzani.

.... MRADI WA KIGAMBONI: Waziri Mkuu Pinda asema Serikali itapitia upya utekelezaji Mradi wa Mji wa Kigamboni baada ya wabunge kupinga mchakato waulipaji fidia.
 
Kitu ambacho watanzania wengi ningependa mjue ni kuwa Prof. Tibaijuka na Dr. Asha-rose Migiro walishindwa kazi za UN wakarudishwa bongo. JK anatumia rejects! Mungu Ibariki CCM!

"walishindwa kazi unamaana gani" kwani walihudumu kwa muda gani?
 
(
There is nothing Wrong with my mind, it is true under the sun that; you opposition you are completely lost, you fail even how to distinguish between the fake nad orignal. How can you compare Prof .and layman like Mdee. the iliterate one? . you guys go forbid.(Hata kiingereza chenyewe hujui, unapost kilugha) , eti nawewe mageuzi) Majanga haya.

Unamcheka mwenzio hajui kiingereza wakati wewe mwenyewe grammar mbinde!
 
(
There is nothing Wrong with my mind, it is true under the sun that; you opposition you are completely lost, you fail even how to distinguish between the fake nad orignal. How can you compare Prof .and layman like Mdee. the iliterate one? . you guys go forbid.(Hata kiingereza chenyewe hujui, unapost kilugha) , eti nawewe mageuzi) Majanga haya.

Unamcheka mwenzio hajui kiingereza wakati wewe mwenyewe grammar inakupiga chenga!!
 
Hivi wewe zinakutosha kweli? unaweza kumlinganisha Prof. na mdee mwenye elimu ya kuvua chupi? Tena unathubutu kutudanganya eti alikuwa akikatishwa na Mh.Spika, hujui kuwa hayo yote ni majembe ya Serikali iliyoko madarakani? Ujinga wako umekithiri kiasi kwamba unasifu na visivyokuwa vyako, si umsifu hata yule Wenje alivyokanyagwa na Mh. Membe? au yule mzee wa Interahamwe anayeongea kama anatafuna mapeas mabichi. Kama huyu hakutoshi si umuongelee Slaa mwizi wa sh.mil.140 za chama chake? na mzinzi namba moja Tanzania?

Akili za bangi.
 
Kitu ambacho watanzania wengi ningependa mjue ni kuwa Prof. Tibaijuka na Dr. Asha-rose Migiro walishindwa kazi za UN wakarudishwa bongo. JK anatumia rejects! Mungu Ibariki CCM!

Naamini kuna mkakati wa kumchafua mama yangu Prof Anna Tibaijuka,She is a threat to many presidential aspirants in the country so they are doing a smear campaign just to make her look bad!!!!
 
Naamini kuna mkakati wa kumchafua mama yangu Prof Anna Tibaijuka,She is a threat to many presidential aspirants in the country so they are doing a smear campaign just to make her look bad!!!!

Kwi! Kwi! Kwiii!!!
 
Orodha ya Maprofesor mizigo ndani ya CCM
1. Profesor Muhongo
2. Profesor Magembe
3. Profesor Kapuya
4. Profesor Anna Tibaijuka
5. ..........
6. .........
7. .........
8. .........
9. .........
10. Profesor Maji Marefu
 
Ninachokiona hapa ni akili kubwa (Tibaijuka) kujadili jambo na akili ndogo (UPINZANI)

Kama unapima uwezo wa mtu kwa sababu yeye ni Prof/Dr hapa bongo umenoa! Nyakati hizi ni vigumu kumtofautisha msomi na hasiye msomi hasa kwenye ulingo wa kisiasa! Hawa maprof aina ya Tibaijuka ndio wametuharibia nchi yetu kwa kiasi kikubwa kwani badala ya kuelimisha umma kazi yao imekuwa ni kuwapotosha watu hasa maskini wasio na elimu.
 
Sasa kama waziri kivuri ndie anayeanzisha mipasho unategemea nn? Halima mdee analeta mambo ya utendaji wa Tibaijuka huko UN anategemea nn hapo? Shame of Shodow minister
Huyo ndio waziri wa wizara gani mkuu?
 
Nshomile bhana!!!!!!!!!!!!!!
Anaambiwa ajikite kwenye HOJA yeye anaendelea na ngonjera za nshomile kumzidi Halima Mdee.
 
Ukiingia kwenye siasa za Tanzania,kama wewe ni profesa,lazima ukubali kuweka elimunyako pembeni ufanye siasa. This is too low.
 
Eti huyu naye ni Professor!!!!! Tibaijuka kumbe kama Muhongo tu!!!! Hovyoooo!!!! Dah!!!!

Niseme tu jamani, ingawa siyo wote ila wahaya wanapenda sifa sana. Huyu mama Tibaijuka sijaona kama amejibu hoja zaidi ya kujipamba tu na sifa za kijinga. Kwenye RED Mdee kashinda mbili bila!!!
 
mama kaguswa pabaya pale UN-HABITAT Nairobi alijaza wahaya kibao Akiwa hapo UN - HABITAT akiona unampa jamba jamba anakuhonga pesa unyamaze.
 
Naamini kuna mkakati wa kumchafua mama yangu Prof Anna Tibaijuka,She is a threat to many presidential aspirants in the country so they are doing a smear campaign just to make her look bad!!!!
Yaani unataka kuniambia na huyo mama naye anataka kugombea urais kwa tiketi ya CCM?!

Yaani kwa jinsi nilivyomuona alivyokuwa anabwabwaja na kurusha mashambulizi na kutoa mipasho kwa mwanamke mwenzie Halima Mdee, badala ya kujibu hoja zinazohusu wizara yake, kama CCM wataamua kufanya uamuzi 'mgumu' wa kumpitisha mama Tibaijuka kuwa mgombea wa urais, kwa opposition itakuwa neema sana kwao, kwa kuwa kama watasimamisha candudate mmoja kama ilivyo dhamira ya ukawa, basi njia itakuwa nyeupe kuelekea Ikulu kwenye uchaguzi mkuu, mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom