Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

NILISHASEMA NINA UHAKIKA kwamba TIBAIJUKA NDIYO WAZIRI MBOVU KULIKO WOTE KATI YA WALIOPO HIVI SASA , KILA MTU AMEJIONEA AIBU ILIYO MPATA , MAKINDA AMEJARIBU KUMWOKOA LAKINI IMESHINDIKANA , AIBU YA LEO SIJAWAHI KUONA !
Ndo maana huwa nasema kuwa "wasomi" ndio wanaoiharibu nchi hii!!!!
 
amekasirika mpaka anapata kigugumizi. Pia yani hulka za nshomile asomile sana mpaka ulaya ndio kinaonekana.
 
Tibaijuka anapointi nzuri lakini amepotoka kumjibu mdee as a person. Economist Tibaijuka Mdee ni mwanasheria - wanatabia ya kumtibua mtu ili APOTEZE LENGO AU MWELEKEO

kwani tibaijuka hajui kweli...inwezekana hajui...
 
Tibaijuka (Prof.) Yaonekana ni waziri/mwanasiasa ambaye bado hajawa seasoned.

Ameanza kujibu hoja za wabunge, kwanza akiwa amekasirika, amepanic, Kilichofuata ni kujibu hoja za wabunge akiwa nje ya mstari. Bahati mbaya amejaribu kujitetea juu ya utendaji wa wizara kwa kutaka kutumia mafanikio ya nyuma ya ili iwe kwamba hata hapo Ardhi amefanikiwa. Tatizo kubwa sasa limekuwa ni jinsi ya kuchagua maneno. Amechokozwa sasa anajifaragua. Lugha ikawa kiswahili kiingereza na baadaye nikasikia kihaya, ngombe.

Amesahau kwamba hapo yuko Bungeni na siyo University life. Amehangaika sana kuonyesha kwamba yeye ni tofauti na wabunge wengine. amestaarabika kuliko wengine. Ni msomi sawa lakini kashindwa kutofautisha uongo na propaganda na kujikuta akitumia maneno yote bila kutofautisha.

Amehangaika kuonyesha kwamba Ardhi ni wizara ngumu sana!!!

Naweza kusema ni mmoja wa mawaziri wanaofeli kujiongoza. Bunge siyo sehemu ya kusifiwa binafsi, hata kama ameshambuliwa binafsi alistahili kukumbuka kwamba yeye ni Waziri.

btw. Mtu huyu bado anasoma message za JF? I am very sorry!
 
Ninachokiona hapa ni akili kubwa (Tibaijuka) kujadili jambo na akili ndogo (UPINZANI)
 
Huu ni mzigo mzoga kabisa. Hata kubebeka haiwezekani....kwasababu mzigo wenyewe unanuka.
Ndio maana vijana wa kariakoo wanapiga deal za maana na kusema wasomi hawana akili...wao ndo wenye akili....wanapanda china na dola 10k anarudi na mzigo akiuza anapata dola 50k cash.
 
Hawa lumumba badala ya kuongea point wanabishana tu na upinzan
Tibaijuka Mara nying hana hoja za maana
 
Wasomi kama hawa wanaoshinda kutwa nzima wanajisifu.....wamefanya nini haswa??! HAKUNA.
 
Kapanic kwa hoja za nguvu kwenye hotuba ya upinzani. Mambo ya ardhi sio mchezo! Raia/ wananchi wasikilizwe na kuthaminiwa ndio kelele zitaisha!
 
Mama anajua anacho kifanya, yupo fit, ila wa TZ hampendi viongozi makini. prof Tibaijuka ni makini sana
 
Amevurugika haswa.....na ameonekana na kila mtanzania mwenye akili timamu anajua sasa kwamba huu ni mzigo mzoga....haubebeki. anaembeba pua zake haziifanyi kazi.
 
Back
Top Bottom