samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
nimeona kwa macho yangu na hao ndio viongozi wa ccm ni majanga majanga majanga wala hauhitaji kudig out source ya umasikini ktk nchi hii
Kweli nimemsikia mbowe ni kelele tu.
Wewe lazima utakuwa wa shule za kata!
Na leo alikuwa anamuahidi Ndugulile kukutana naye , spika kamuambia amjibu hapohapo bungeni ili wote tusikie.Dkt F Ndugulile anasema Tibaijuka kapuuza agizo la spika la kukutana na mbunge wa kigamboni na waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
Hivi wewe zinakutosha kweli? unaweza kumlinganisha Prof. na mdee mwenye elimu ya kuvua chupi? Tena unathubutu kutudanganya eti alikuwa akikatishwa na Mh.Spika, hujui kuwa hayo yote ni majembe ya Serikali iliyoko madarakani? Ujinga wako umekithiri kiasi kwamba unasifu na visivyokuwa vyako, si umsifu hata yule Wenje alivyokanyagwa na Mh. Membe? au yule mzee wa Interahamwe anayeongea kama anatafuna mapeas mabichi. Kama huyu hakutoshi si umuongelee Slaa mwizi wa sh.mil.140 za chama chake? na mzinzi namba moja Tanzania?
Hujitambui wewe. Hebu kwanza rudia kusoma ulichokiandika halafu tafakari na ujipime kama unastahili kuwa katika jukwaa hili.Hivi wewe zinakutosha kweli? unaweza kumlinganisha Prof. na mdee mwenye elimu ya kuvua chupi? Tena unathubutu kutudanganya eti alikuwa akikatishwa na Mh.Spika, hujui kuwa hayo yote ni majembe ya Serikali iliyoko madarakani? Ujinga wako umekithiri kiasi kwamba unasifu na visivyokuwa vyako, si umsifu hata yule Wenje alivyokanyagwa na Mh. Membe? au yule mzee wa Interahamwe anayeongea kama anatafuna mapeas mabichi. Kama huyu hakutoshi si umuongelee Slaa mwizi wa sh.mil.140 za chama chake? na mzinzi namba moja Tanzania?