Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Sijamsikia ngoja nimtafuteMi ninashangazwa na hatua aliyochukua kukataa hiyo pesa,maelezo aliyotoa na kiwango cha kuelimika kwake na majanga yaliyo tusibu kwa kweli sijamuelewa jamani.
Sijamsikia ngoja nimtafuteMi ninashangazwa na hatua aliyochukua kukataa hiyo pesa,maelezo aliyotoa na kiwango cha kuelimika kwake na majanga yaliyo tusibu kwa kweli sijamuelewa jamani.
mkuu siasani wakibaki wenye elimu za hapa na pale...ndo tutakwishaHivi Maprofessor wa Tanzania ni nani aliyewaroga?
Kwanini msijikite kwenye courses mlizosomea badala ya kukimbilia siasani tu?
90%!ya maprofesa wa Tanzania ni wajinga wajinga sana mfano angalia matendo ya kapuya hata wale wenye phd akina mwakyembe walinunua mabehewa feki huku akimfundisha uzushi phd mwenzake Slaa, wenzao akina kitila, lipumba wamekuwa vioja kwa kweli Uprofesa wa Tz ni kituko
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Amekataa wapi huyo mnafiki .sana sana ame redirect iende bukoba baadala ya serikali kuu.analeta maujanja ya kizamani alafu anataka natumsifie kwakutudanganya kama watotoAna haki akatae hii si hela ya kitunguu tu
Mchezo wa kubadilisha gia anganisi a sa ni mchezo mwingine
Anatakiwa afukuzwe kwa kosa la kuilaghai na kuikosesha mapato kwa hila serikali.kwani alichofanya nikuredirect hiyo fedha iende bukoba baadala ya serikalini kwakutoiamini serikali kupokea .kwani sheria ya maadili aikatazi kupokea zawadi ila kwa sharti zawadi ikizidi gharama ya elfu 50 unaipokea na kuikabidhi serikali .mpaka hapo utaona ni jinsi gani sio kiongozi mwadilifu yaani unakuwa kiongozi huku unaitendea hila serikali yako .Kitendo cha Serikali kutafuta pesa kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tetemeko wa mkoa wa Kagera huku jimbo la Buleba likiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera Mbunge wake akiwa ni Profesa Anna Tibaijuka ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya kimataifa ya maswala ya uongozi na KUKATAA TAKRIBANI T..SH 200 MIL KAMA KIAMBATA CHA TUZO.NI JAMBO LA KUSTAJABISHA KWA KIONGOZI MKUU KAMA HUYU ANAYETOKA KATIKA ENEO LILILOATHIRIKA NA JANGA HILI AMBAPO BADO JUHUDI ZA KUKUSANYA MICHANGO ZINAENDELEA FANYIKA. LAITI KAMA NINGEKUWA NI MWENYEKITI WA CCM NINGEMVUA UANACHAMA KAMA HATUA MUHIMU YA KUELEKEA MVUA UBUNGE WAKE
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Mkuu nakuunga mkono huyu mama ana dharau kupita kiasi haiwezekani ukaacha kupokea fedha za tuzo kisa maadili hayaruhusu si afadhali angewaambia badala ya kupewa fedha wampe madawa. Tendo hili linaonyesha jinsi alivyo na dharau kwa wananchi wa jimboni lake ambao wana matatizo mengi. Mbona hela ya rushwa ya escrow alichukua huku akitoa maneno ya ku......nya "Eti hiki tuhela twa mboga" kwani alikuwa hajui sheria inakataza. Pambaaf zake!Hizi ni kauli za kihuni kabisa, wapi maadili ya nchi hii yaliposema kiongozi anakatazwa kupokea Tuzo ya wazi kama hiyo inayoambatana na fedha? Huo ni upuuzi unao endelea kuonyeshwa na maprofesa wetu. Kama yeye hana Shida ya Pesa na akazipokea na kupeleka hata jimboni na kuwaambia hii ni zawadi (Tuzo) yangu naomba inunue madawa kwenye zahanati hata wapiga kura wake sii wangemuona wa maana!
Hapo kaonyesha tuu dharau kwa waliokuwa wanansema juu ya zile za Escrow
Wako busy na pesa za watu wakati M/kiti wao tena wenye jimbo kaenda pale akanywa rubisi na amerudi mjini bila hata kutoa mfuko mmoja wa sarujiKwani Tabora si sehemu ya congo? Mbona kuna wacongomani wengi sana, hata warudi na wanayarwanda pia na kuna maprofesa wawili wajinga wajinga yaani Kapuya na Lipumba.
Hiyo ni hila ameifanyia serikali kwa kuredirect hiyo pesa iende bukoba kwa kumpatia sifa binafsi ,baadala ya pesa hiyo angeipokea kama zawadi na kwa sheria ya maadili ikizidi gharama ya elfu 50 unaikabidhi serikali.kwa maana ingine alikuwa achukue elfu 50 na akabidhi serikali million 199.950.000/= sana sana huyu kama alitegemea sifa badala yake anatakiwa ashitakiwe kwakuikosesha serikali mapato yake halali.aswa ukizingatia anaelewa fika kuwa alitakiwa apokee na kuikabidhi serikali haki yake.mtoa post huna akili aujui kwanini hajachukua pesa pili hujajua kasema nini kaa kimnya!!!!yeye kawaambia kupokea pesa haifai ila mm ninetoka ulemkoa ulopata maafa nazan ushapata jib tumia akili ya kujiongeza.
Si mlimwita mwizi sasa iweje leo mnataka tena apokee? kama zimewauma sana kazichukue nyinyiZile bil 1.6 za Ruge alizipokeaje kama maadili yanakataa?
Kwani nchi hii vyanzo vya mapato ni 200m tu? keshaikataa imekwisha, kama kafanya sahihi ama kaharibu ni yeye mwenyeweHiyo ni hila ameifanyia serikali kwa kuredirect hiyo pesa iende bukoba kwa kumpatia sifa binafsi ,baadala ya pesa hiyo angeipokea kama zawadi na kwa sheria ya maadili ikizidi gharama ya elfu 50 unaikabidhi serikali.kwa maana ingine alikuwa achukue elfu 50 na akabidhi serikali million 199.950.000/= sana sana huyu kama alitegemea sifa badala yake anatakiwa ashitakiwe kwakuikosesha serikali mapato yake halali.aswa ukizingatia anaelewa fika kuwa alitakiwa apokee na kuikabidhi serikali haki yake.