Ngoja nibaki hapa
WapiNgoja nibaki hapa
Vipi ile Epsom Salt nayo ina matokeo yale yale?!Although best salt and super pure is pink salt or himalayan salt but all work well.
Hayafanani inategemea una shida gani lakini haya yanaweza kuwa msaada....Umeongelea "kunuizia", hebu Fanya hima utupe na maneno ya kunuizia
Hii naona inabidi uianzishie maada kabisa, kuna mtu alinitumia huu Uzi yeye nuizia yake anasema tu "chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako" nikamwambia ndivyo Mshana alivyoandika???, anasema Mshana alisema tunuizie tuHayafanani inategemea una shida gani lakini haya yanaweza kuwa msaada....
Chumvi ni tiba nitibie shida yangu
Chumvi ni ladha niletee ladha kwenye maisha yangu
Chumvi ni kinga nikinge na mambo mabaya na hatari zote
Chumvi ni kikoleza... Koleza mafanikio yangu, kutafuta kwangu, kupendwa kwangu nk
Chumvi ni kiungo nifanye nifanyike kiungo kila nitakapopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haifanyi kazi ya mkorogo. Ila huyo aliyenuizia kwa kusema kuwa CHUMVI UNA NGUVU FANYA KAZI YAKO... Bado alikuwa sahihi sana... Yaani aliiweka kwenye automation mode... Na hata usipotamka kitu bado inatendaHii naona inabidi uianzishie maada kabisa, kuna mtu alinitumia huu Uzi yeye nuizia yake anasema tu "chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako" nikamwambia ndivyo Mshana alivyoandika???, anasema Mshana alisema tunuizie tu
Haya maneno tunaweza kuyapata kwa mtiririko kama huu wapi, jinsi gani ya kuya google.....Dada zetu wasije anza kunuiza chumvi ni nyeupe......nifanye niwe mweupe bila kalo laiti🙂🙂
Hivi zongo ni kitu gani hasa mkuu?Nilisoma Uzi wako nikaitafta hyo chumvi nikaogea nashangaa nikaanza kulala vzuri no ndoto za kutisha na mambo wengine, nilizoea tukiwa wadogo kuogeshwa na magadi kuondoa sijui zongo na hii ya chumvi iko bien sana
Mkuu maneno ya muhimu sana, yanatilia mkazo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haifanyi kazi ya mkorogo. Ila huyo aliyenuizia kwa kusema kuwa CHUMVI UNA NGUVU FANYA KAZI YAKO... Bado alikuwa sahihi sana... Yaani aliiweka kwenye automation mode... Na hata usipotamka kitu bado inatenda
Mkuu samahani.Anuizie kuondoa nuksi na kutakasa nyota
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii naona inabidi uianzishie maada kabisa, kuna mtu alinitumia huu Uzi yeye nuizia yake anasema tu "chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako" nikamwambia ndivyo Mshana alivyoandika???, anasema Mshana alisema tunuizie tu
Haya maneno tunaweza kuyapata kwa mtiririko kama huu wapi, jinsi gani ya kuya google.....Dada zetu wasije anza kunuiza chumvi ni nyeupe......nifanye niwe mweupe bila kalo laiti🙂🙂
ShukranHayafanani inategemea una shida gani lakini haya yanaweza kuwa msaada....
Chumvi ni tiba nitibie shida yangu
Chumvi ni ladha niletee ladha kwenye maisha yangu
Chumvi ni kinga nikinge na mambo mabaya na hatari zote
Chumvi ni kikoleza... Koleza mafanikio yangu, kutafuta kwangu, kupendwa kwangu nk
Chumvi ni kiungo nifanye nifanyike kiungo kila nitakapopita
Yatakimbia yote... Imwage kila mahali darini na sakafuni, nje na ndani uvunguni na kwenye pembe za nyumbaMkuu samahani.
Kwa mfano Kama nyumba yangu wanaishi majini na kuleta vurugu zao usiku.
Je nikitumia chumvi Kama ulivyoelekeza pia watafukuzwa au yenyewe inafukuza wachawi tu?
ujue natafakari sana ila nashindwa kupata maana halisi ya manuizi kwakweli, ni kama vile tunavyoomba msikitini na makanisani auAnuizie kuondoa nuksi na kutakasa nyota
Yale ni maombi na dua haya ni manuizi.. Maombi na dua ni kwa Mungu atende... Manuizi ni dhamira binafsi juu ya matokeo ya jamboujue natafakari sana ila nashindwa kupata maana halisi ya manuizi kwakweli, ni kama vile tunavyoomba msikitini na makanisani au