ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,905
- 42,074
Ndivyo walivyo, hata kama ni maandazi mnaandaa mtashangaa hayaumuki kamwe [emoji108][emoji108][emoji108]
Lakini mkiweza kukumbuka kunakuwaga na namna ya kufanya kabla ili kusudi wasiharibu vyakula kwa mazongo!
Sema mara nyingi ni rahisi kujisahau kuchukua tahadhari mapema wakati wa maandalizi ya chakula!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah tanga hapana bwana duuuh sitakaa nisahau lile tumbo yaani unaharisha mpk nguvu zinakuisha duuh