Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Maji Lita 20 hivi chumvi kadiria nusu kiganja.. Ndimu si lazima sana
Naam mkuu mshana.
Emu niambie hapa kama nipo sahihi.
1. NAWEKA MAJI NUSU KWENYE NDOO YA LITA 10 YAANI HAIJAI MPAKA JUU
2. NAWEKA CHUMVI YA MAWE KIASI NAKADIRIA KUTOKANA NA KIASI CHA MAJI.
3. KISHA NAMINYIA NDIMU MOJA.
4. KISHA NAKOROGA KWA MWELEKEO MMOJA ILI CHUMVI ICHANGANYIKE NA MAJI
5. KISHA NAOGA
6. KWA SIKU MARA 1

Je nipo sahihi Mkuu???

#MshanaJr

Jr[emoji769]
 
Maji Lita 20 hivi chumvi kadiria nusu kiganja.. Ndimu si lazima sana

Jr[emoji769]
Mmmmmhhh. Mkuu mshana naomba kujua kitu
Kwa nini maji yanatakiwa yawe mengi yaani lita 20??
Ni lazima iwe hivo??
Kuna siri gani hapo????

Samahan mkuu

#MshanaJr
 
Hapana sio lazima bali nimechukulia kipimo cha kawaida watu wanapooga kwa ndoo

Mkuu huku kwetu sijawahi ona mtu akioga na lita 20
All in all nitatumia lita 10 tu.

Pamoja sana mkuu.

#MshanaJr
 
Pouwa kikubwa sio maji kiasi gani kwakuwa hata nusu Lita inatosha
Mkuu huku kwetu sijawahi ona mtu akioga na lita 20
All in all nitatumia lita 10 tu.

Pamoja sana mkuu.

#MshanaJr

Jr[emoji769]
 
YESU aliwaambia wanafunzi wake hivi: “Nyinyi ndio chumvi ya dunia.” (Mathayo 5:13) Nao Waarabu husema kwamba, “Kuna chumvi kati yetu,” na Waajemi husema kuhusu “asiye wa kweli kwa chumvi” (asiye mwaminifu au asiye na shukrani). Kwa kuwa chumvi inaweza kuhifadhi vitu, neno “chumvi” limeheshimiwa na kustahiwa katika lugha za kale na hata za leo.

Chumvi pia imekuwa alama ya uthabiti na udumifu. Hiyo ndiyo sababu, katika Biblia agano muhimu liliitwa “agano la chumvi,” na wale waliokubaliana mara nyingi walikula mlo pamoja, uliotiwa chumvi ili kuidhinisha agano hilo. (Hesabu 18:19) Chini ya Sheria ya Musa, chumvi ilitiwa kwenye matoleo madhabahuni, bila shaka ikionyesha hali ya kutokuwa na ufisadi au uharibifu wowote.

Jr[emoji769]
Umbuje nzeze hivi hawa wenye zongo wanaweza kukitia hata chakula cha sherehe hilo Zongo mfano harusi halafu pilau litiwe zongo imagine mshana
 
Umbuje eka du iwe.. Ilitutokea Lushoto hiyo kwenye harusi ya mdogo wangu.. Chakula sijui kilikuwaje hakikuwa na ladha yoyote na nyama ya kuku ilikuwa kama nyama ya maiti mochwari... Sitakaa nisahau

Acha nikupe mkasa jamani tanga kiboko harus ya mdog wangu ikapendekezwa ikafanywe tanga mweh pilau lilitiwa zongo hakuna aliesalimika na kuhara tulihara mpk wageni waalikwa ponapona yetu ni makata sina hamu umbuje maan watu ni kuulizan tu wew vip mpk bibi harus na babu harus mwendo ni mmoj tu sitasahau tanga sahare asanteni jamani
 
Ndivyo walivyo, hata kama ni maandazi mnaandaa mtashangaa hayaumuki kamwe [emoji108][emoji108][emoji108]

Lakini mkiweza kukumbuka kunakuwaga na namna ya kufanya kabla ili kusudi wasiharibu vyakula kwa mazongo!

Sema mara nyingi ni rahisi kujisahau kuchukua tahadhari mapema wakati wa maandalizi ya chakula!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hata sisi watu waliumwa na kuharisha mno.... Makata ndio yaliokoa jahazi... Halafu wakati wa kurudi Dar tukatumia siku mbili.... Tulikuwa na gari 3 yani zilikuwa zinaharibika kwa zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nikupe mkasa jamani tanga kiboko harus ya mdog wangu ikapendekezwa ikafanywe tanga mweh pilau lilitiwa zongo hakuna aliesalimika na kuhara tulihara mpk wageni waalikwa ponapona yetu ni makata sina hamu umbuje maan watu ni kuulizan tu wew vip mpk bibi harus na babu harus mwendo ni mmoj tu sitasahau tanga sahare asanteni jamani

Jr[emoji769]
 
Duh! Ila kuna siku chumvi ilimwagika kwenye kibiriti changu, nikakumbuka threads zako cha chumvi, walahi niliziacha ili kujuwa kama usemavyo ni kweli, tatizo nilisahau kufuatilia, sababu ya kupenda Valuer!... 😎 😀
 
[emoji848][emoji15][emoji44][emoji1][emoji1][emoji1]
Duh! Ila kuna siku chumvi ilimwagika kwenye kibiriti changu, nikakumbuka threads zako cha chumvi, walahi niliziacha ili kujuwa kama usemavyo ni kweli, tatizo nilisahau kufuatilia, sababu ya kupenda Valuer!... 😎 😀

Jr[emoji769]
 
Kwani wewe huwa huneni na Mungu? Au umetafsiri vipi kwani

Jr[emoji769]
Kwenye kunenea maneno hapo ndipo penye shida, kinyume cha kutokumnenea Mungu kwa kupitia jina la Yesu ni kumnenea shetani iwe ni moja kwa moja au kwa kupitia mawakala wake ambao chumvi inaweza ikawa ni wakala mmoja wapo wa shetani.
 
Kuna jamaa kipindi cha nyuma alitaka kunidhulumu kiwanja fln hiv makusudi tu. Nikamtuma kijana mmoja akaniletee udongo wa kile kiwanja niufanyie kazi!

Nilichokifanya sasa; nilichukua chumvi ya asili nilitoa kateshi, nikachanganya na huo udongo, nikaandika na jina la huyo bwana na rafiki zake ili umoja usiwepo, nikasali sana ile usiku..sana..asubh nikampigia yule kijana aje achukue hlf akamwage ule udongo +chumvi pale kwenye kiwanja!

Nikamwambia sasa tutulie huyu jamaa hatafatilia tena hiki kiwanja na atakisahau mana nia yake si nzuri! Ooooh alinitafuta mwenyewe, akanambia hiki kiwanja ni chako sina mda wa kubishania haki ya mtu!
Tunapeana hi tu tukikutana!

Kuna ofisi moja nilikua nataka mkopo, sasa kila siku usumbufu, hawataki kunipa hela....nikahakikisha napata majina yao wote wale afisa mkopo na meneja wao...nikafanya juu chini nikabeba udongo kidogo sana wa pale, kwasababu sipeleki kwa mganga naweza shika udongo kwa mkono tu haina shida, ni tofauti na kwa mganga...sasa sababu namwamini Mungu katika Kristo Yesu, nilifanyia kazi navyojua mimi, nikarudi pale kwa kuhangaikiwa nipate hela haraka, wakajilaumu kwann wamenicheleweshea kunipa mkopo mapema, niliwanyamazia tuu!

Haya mambo yanafanya kazi kwa kupitia imani ambapo lazima kuwepo na ufahamu fln utakaoungana na hiyo imani na imani lazima iungane na supernatural being...hakuna mtu duniani anayeishi nje ya kuamini kwake, hayupo na hatatokea.
 
Naomba tukubaliane kutokubaliana
Kwenye kunenea maneno hapo ndipo penye shida, kinyume cha kutokumnenea Mungu kwa kupitia jina la Yesu ni kumnenea shetani iwe ni moja kwa moja au kwa kupitia mawakala wake ambao chumvi inaweza ikawa ni wakala mmoja wapo wa shetani.

Jr[emoji769]
 
Haya mambo yanafanya kazi kwa kupitia imani ambapo lazima kuwepo na ufahamu fln utakaoungana na hiyo imani na imani lazima iungane na supernatural being...hakuna mtu duniani anayeishi nje ya kuamini kwake, hayupo na hatatokea. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji109][emoji123][emoji109][emoji123][emoji109]
Kuna jamaa kipindi cha nyuma alitaka kunidhulumu kiwanja fln hiv makusudi tu. Nikamtuma kijana mmoja akaniletee udongo wa kile kiwanja niufanyie kazi!

Nilichokifanya sasa; nilichukua chumvi ya asili nilitoa kateshi, nikachanganya na huo udongo, nikaandika na jina la huyo bwana na rafiki zake ili umoja usiwepo, nikasali sana ile usiku..sana..asubh nikampigia yule kijana aje achukue hlf akamwage ule udongo +chumvi pale kwenye kiwanja!

Nikamwambia sasa tutulie huyu jamaa hatafatilia tena hiki kiwanja na atakisahau mana nia yake si nzuri! Ooooh alinitafuta mwenyewe, akanambia hiki kiwanja ni chako sina mda wa kubishania haki ya mtu!
Tunapeana hi tu tukikutana!

Kuna ofisi moja nilikua nataka mkopo, sasa kila siku usumbufu, hawataki kunipa hela....nikahakikisha napata majina yao wote wale afisa mkopo na meneja wao...nikafanya juu chini nikabeba udongo kidogo sana wa pale, kwasababu sipeleki kwa mganga naweza shika udongo kwa mkono tu haina shida, ni tofauti na kwa mganga...sasa sababu namwamini Mungu katika Kristo Yesu, nilifanyia kazi navyojua mimi, nikarudi pale kwa kuhangaikiwa nipate hela haraka, wakajilaumu kwann wamenicheleweshea kunipa mkopo mapema, niliwanyamazia tuu!

Haya mambo yanafanya kazi kwa kupitia imani ambapo lazima kuwepo na ufahamu fln utakaoungana na hiyo imani na imani lazima iungane na supernatural being...hakuna mtu duniani anayeishi nje ya kuamini kwake, hayupo na hatatokea.

Jr[emoji769]
 
Yeah hata sisi watu waliumwa na kuharisha mno.... Makata ndio yaliokoa jahazi... Halafu wakati wa kurudi Dar tukatumia siku mbili.... Tulikuwa na gari 3 yani zilikuwa zinaharibika kwa zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Nimecheka kama mazuri wallah tanga kiboko duuuh japo ni nyumban lkn sijui kwa nini siwezi kuishi ht kidogo tanga
 
Back
Top Bottom