MSAMEHE ANA TB YA UBONGOKwani matumizi yake yameanza leo?
Post hii nimeisoma jana nime practice na naona it could work... maana asubuhi nimeamka nikiwa mwepesi na mwenye kujiamini
Japo nilitumia chumvi ya majumbani( ya mboga) lakini naona kuwa sio mbaya it could work
Nna mpango wa kununua chumvi yenyewe ambayo ina nguvu. Mwisho kabisa natoa shukrani za dhati kwa Mshanajr Mungu akujarie sana bro! Akuongezee na maarifa mengine maana unawasaidia wengi naamini
Habar mkuu mshanaJt
Nakufwatilia sana kaka na napenda baadhi ya mada zako na napenda pia unavyojibu maswali ya waulizaji bila ubaguaji wa maswali yaani unajibu maswali aina zote PONGEZI sana.
Naomba kuuliza
Hiyo chumvi ya mawe inapata wapi nguvu ya kutenda maajabu hayo???!
Samahani kwa swali langu mkuu wangu.
Sawa mkuu ila usinisahau.Asante sana naomba nitakurejea nikitulia nikujibu kwa kina
Jr[emoji769]
Sawa mkuu ila usinisahau.
#MshanaJr
CC : ZESH
Mkuu samahaniHii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.
Chumvi ni tiba mbadala ya kiroho kwa ajili ya kuondoa nguvu mbaya(hasi).
Wasalaam
Jr[emoji769]
@mshana JrMkuu samahani
Hukunijibu swali langu
Nilikuuliza kuwa CHUMVI inapata wapi nguvu kubwa kiasi hicho kutenda yote hayo???
Kwa nini viumbe wabaya wanaiogopa???
Kwa nini hasa????
Naomba jibu mkuu.
#MshanaJr
Ufafanuzi zaidi,zongo ndiyo nini na inakuwaje?Dawa ya kienyeji ina mwonekano na ladha kama magadi
YESU aliwaambia wanafunzi wake hivi: “Nyinyi ndio chumvi ya dunia.” (Mathayo 5:13) Nao Waarabu husema kwamba, “Kuna chumvi kati yetu,” na Waajemi husema kuhusu “asiye wa kweli kwa chumvi” (asiye mwaminifu au asiye na shukrani). Kwa kuwa chumvi inaweza kuhifadhi vitu, neno “chumvi” limeheshimiwa na kustahiwa katika lugha za kale na hata za leo.Mkuu samahani
Hukunijibu swali langu
Nilikuuliza kuwa CHUMVI inapata wapi nguvu kubwa kiasi hicho kutenda yote hayo???
Kwa nini viumbe wabaya wanaiogopa???
Kwa nini hasa????
Naomba jibu mkuu.
#MshanaJr
Naaam nimeelewa.YESU aliwaambia wanafunzi wake hivi: “Nyinyi ndio chumvi ya dunia.” (Mathayo 5:13) Nao Waarabu husema kwamba, “Kuna chumvi kati yetu,” na Waajemi husema kuhusu “asiye wa kweli kwa chumvi” (asiye mwaminifu au asiye na shukrani). Kwa kuwa chumvi inaweza kuhifadhi vitu, neno “chumvi” limeheshimiwa na kustahiwa katika lugha za kale na hata za leo.
Chumvi pia imekuwa alama ya uthabiti na udumifu. Hiyo ndiyo sababu, katika Biblia agano muhimu liliitwa “agano la chumvi,” na wale waliokubaliana mara nyingi walikula mlo pamoja, uliotiwa chumvi ili kuidhinisha agano hilo. (Hesabu 18:19) Chini ya Sheria ya Musa, chumvi ilitiwa kwenye matoleo madhabahuni, bila shaka ikionyesha hali ya kutokuwa na ufisadi au uharibifu wowote.
Jr[emoji769]
Naaam nimeelewa.
Au naweza sema chumvi ndimu kitunguu swaumu na viungo vingine vina nguvu za asili kutoka kwa mungu.
Na ndo maana tunachemsha muarobaini na kunywa maji yake ama kujifukisha na mtu homa inaondoka
So hivi vitu si ushirikina kumbe
Nimekuelewa saaanaaaa.
#MshanaJr
#MshanaJr
#MshanaJr
Naam mkuu mshana.Hapana hakuna ushirikina hapo... Kuna vitu vingi tu vina nguvu ya asili
Jr[emoji769]