Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 10,105
- 21,723
Hii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.Kuna nguvu(nishati)zinazotuzunguka sisi binadamu,na jinsi unavyozidi kupata elimu kuhusu hizi nguvu na ndivyo utakavyozidi kujua zaidi athari za nguvu hizi,ziwe nzuri(chanya) au mbaya(hasi).
Nguvu mbaya zinaweza kuathiri mwili, nyumba tunazoishi na hata ofisi tunazofanyia kazi.
Dalili ya nguvu mbaya katika mazingira yetu ni kama zifuatazo,kuumwa kichwa Mara kwa Mara bila kuwepo kwa kisababishi kama magonjwa,maumivu ya tumbo yasioeleweka,uchovu bila kufanya kazi yoyote,kukosa usingizi,kuweweseka-kua na hali ya uoga,kukata tamaa,kuhisi akili haifanyi kazi,kutokufurahia mahusiano,na hata kuchukia sehemu unayoishi au kufanyia kazi bila sababu maalumu.
Jinsi ya kuepukana na hizi nguvu hasi(mbaya) Chukua chumvi zenye punje ndogondogo nyunyuzia juu ya carpet(zulia),sakafu au tailizi,ziache kwa muda wa angalau lisaa limoja,kisha waweza kuifagia.
Chumvi zina asili ya kushangaza iliopo ndani yake ya kunyonya hizo nguvu mbaya zilizopo kwenye icho chumba.
Pia unaweza kuweka chumvi ya mawe(mabonge) mapande makubwamakubwa kwenye kibakuli kidogo na kuweka kwenye pembe(kona) za chumba na kuitoa baada ya masaa machache,njia hii pia huondoa nguvu hasi zilizopo kwenye hicho chumba.
Hii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.
Chumvi ni tiba mbadala ya kiroho kwa ajili ya kuondoa nguvu mbaya(hasi).
Wasalaam
L.a.i.i
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kitu nilichokiona ktk chumvi ya mawe nikwamba ukiimwaga chini inayeyuka yenyewe.Kuna nguvu(nishati)zinazotuzunguka sisi binadamu,na jinsi unavyozidi kupata elimu kuhusu hizi nguvu na ndivyo utakavyozidi kujua zaidi athari za nguvu hizi,ziwe nzuri(chanya) au mbaya(hasi).
Nguvu mbaya zinaweza kuathiri mwili, nyumba tunazoishi na hata ofisi tunazofanyia kazi.
Dalili ya nguvu mbaya katika mazingira yetu ni kama zifuatazo,kuumwa kichwa Mara kwa Mara bila kuwepo kwa kisababishi kama magonjwa,maumivu ya tumbo yasioeleweka,uchovu bila kufanya kazi yoyote,kukosa usingizi,kuweweseka-kua na hali ya uoga,kukata tamaa,kuhisi akili haifanyi kazi,kutokufurahia mahusiano,na hata kuchukia sehemu unayoishi au kufanyia kazi bila sababu maalumu.
Jinsi ya kuepukana na hizi nguvu hasi(mbaya) Chukua chumvi zenye punje ndogondogo nyunyuzia juu ya carpet(zulia),sakafu au tailizi,ziache kwa muda wa angalau lisaa limoja,kisha waweza kuifagia.
Chumvi zina asili ya kushangaza iliopo ndani yake ya kunyonya hizo nguvu mbaya zilizopo kwenye icho chumba.
Pia unaweza kuweka chumvi ya mawe(mabonge) mapande makubwamakubwa kwenye kibakuli kidogo na kuweka kwenye pembe(kona) za chumba na kuitoa baada ya masaa machache,njia hii pia huondoa nguvu hasi zilizopo kwenye hicho chumba.
Hii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.
Chumvi ni tiba mbadala ya kiroho kwa ajili ya kuondoa nguvu mbaya(hasi).
Wasalaam
L.a.i.i
Sent using Jamii Forums mobile app
Am humbledHii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.
Chumvi ni tiba mbadala ya kiroho kwa ajili ya kuondoa nguvu mbaya(hasi).
Wasalaam
Jr
Sokoni zinapatikana eeKuna nguvu(nishati)zinazotuzunguka sisi binadamu,na jinsi unavyozidi kupata elimu kuhusu hizi nguvu na ndivyo utakavyozidi kujua zaidi athari za nguvu hizi,ziwe nzuri(chanya) au mbaya(hasi).
Nguvu mbaya zinaweza kuathiri mwili, nyumba tunazoishi na hata ofisi tunazofanyia kazi.
Dalili ya nguvu mbaya katika mazingira yetu ni kama zifuatazo,kuumwa kichwa Mara kwa Mara bila kuwepo kwa kisababishi kama magonjwa,maumivu ya tumbo yasioeleweka,uchovu bila kufanya kazi yoyote,kukosa usingizi,kuweweseka-kua na hali ya uoga,kukata tamaa,kuhisi akili haifanyi kazi,kutokufurahia mahusiano,na hata kuchukia sehemu unayoishi au kufanyia kazi bila sababu maalumu.
Jinsi ya kuepukana na hizi nguvu hasi(mbaya) Chukua chumvi zenye punje ndogondogo nyunyuzia juu ya carpet(zulia),sakafu au tailizi,ziache kwa muda wa angalau lisaa limoja,kisha waweza kuifagia.
Chumvi zina asili ya kushangaza iliopo ndani yake ya kunyonya hizo nguvu mbaya zilizopo kwenye icho chumba.
Pia unaweza kuweka chumvi ya mawe(mabonge) mapande makubwamakubwa kwenye kibakuli kidogo na kuweka kwenye pembe(kona) za chumba na kuitoa baada ya masaa machache,njia hii pia huondoa nguvu hasi zilizopo kwenye hicho chumba.
Hii pia inafanya kazi kwa watu badala ya kujinyunyuzia chumvi mwilini,chukua vikombe viwili vya chumvi ya baharini viweke kwenye chombo cha kuogea (ndoo) na kisha oga.
Chumvi ni tiba mbadala ya kiroho kwa ajili ya kuondoa nguvu mbaya(hasi).
Wasalaam
L.a.i.i
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar mkuu mshana .
Usichome chumvi.. Ni kitu kibaya sana... Tunachoma chumvi pale tunapotaka kufanya manuizi mabayaHabar mkuu mshana .
Sasa mkuu kutokana na kilichomfika huyo Dada wa siafu chumbani kwake.
Je ipi ni njia bora na yenye nguvu zaidi?
Katika kukinga ama kulinda ama kuepusha nyumba isiingiwe na wadudu wa hatari kama nyoka, siafu na wengineo wabaya zaidi walio hatari???
Chumvi ya mawe itatumikaje hapo kuchoma ama?????
Naomba majibu mkuu
Shukrani.
Sasa mkuuUsichome chumvi.. Ni kitu kibaya sana... Tunachoma chumvi pale tunapotaka kufanya manuizi mabaya
Imwage tu kuzunguka nyumba inatosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu
Kama mtu anakaa kwenye nyumba ya kupanga itakuwaje??
Akimwaga chumvi kuzunguka nyumba na nyumba sio yake akionwa na mwenye nyumban je unadhani ataeleweka kweli????