Kusema chumvi usiku kuna madhara gani kwa wauza duka? Ushirikina tu

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Aisee miaka ya zamani kidogo ukiita Chumvi baadhi maduka usiku hupewi ng'oo...Unaweza kuambiwa haipo na pengine unaiona kabisaa ETI mpaka useme DAWA YA MBOGA

Sasa Chumvi ikikuishia usiku ndo utajua hujui.Ukienda kwa mangi anakwambia sio chumvi ni dawa ya mboga au dawa ya jiko.

Tabia hii ni common mikoa ya pwani na kanda ya ziwa.Sasa wajuvi wa mambo mtujuze Kuita CHUMVI kuna madhara gani na kwanini utumie dawa ya mboga au Dawa ya jiko??

Ushirikina tu
 
Ni imani za kishirikina tu kuwa ukitamka chumvi usiku dukani na ukapewa, hilo duka litafilisika. Jamii ina imani nyingi za ajabuajabu, wengine ukipoteza dira na huelewi pande za dunia mkiwa porini ukitamka tu umepotea hujui pande za duni mnapotea wote anakosekana wa kuwaongoza porini na mtazunguka porini mpaka siku ya pili mnatokea kijiji cha pili mko hoi taabani
 
Aisee alieturoga kweli amefariki
 
Back
Top Bottom