Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Nimefanya kazi serikalini nikiwa mdogo Sana, ofisi nzima nilikuwa naamkia mwanzo mwisho. Ilikuwa kila saa 7mchana kichwa kinaniuma mzee mmoja akasema nenda kwenu kaage.
Nilihama ofisi Kuna watu toka mwaka 75 mpk anastafu Hadi 2016 anastafu hajawahi hama.
Waza kwanini walikuwa hawahami mkuu.
Mh..endelea mkuu inaonekana walikuwa wanafanya yao
 
Ninazo kama shuhuda mbili hivi kuna nyakati nilipigwa zongo la uso na mtu fulani wanasema sijui jicho la husda..nilitokewa na mapele/chunusi sijui zisizosikia dawa wala sabuni yoyote ile,ilinilazimu niwe nafunga mashungi aisee nilivyoenda nyumban mama angu aliniangalia na kusikitika haswaaa basi akanipatia chumvi ya mawe nikanawia.Baada ya mda kama week huez amini yale madude yalikauka na kuisha kabsa yaani nikikuonesha picha za before n after hutamiini binadamu walivyo wabaya.Mungu amsamehe tu yule njibibi kwa kunipiga lile kombora.Hadi leo ndani kwangu sikosi chumvi ya mawe og.
Nitarudi kwa kisa cha pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiria kwa hamu kisa cha pili... Lakini pia pole sana @charty

Jr[emoji769]
 
Habar mkuu ni ile chumvi ya mawe eeh

Jr[emoji769]
 
Although salt is powerful in historical and metaphorical terms, its spiritual power often goes unnoticed. Spiritually speaking, salt is considered the great neutraliser. It can help cleanse, heal and balance energy, while repelling negative vibrations. ... Rock salt helps in clearing up this residue to a great deal

Jr[emoji769]
 
Mshana naomba msaada niliwahi kupanga kwa mama mmoja wa kihaya kila mtu akawa ananiambia n mwanga… nmekaa mwaka mmoja kweli nilianza kuona mauzauza mtoto wangu mchanga alikuwa akilia sana ucku km mtu anayeogopa kitu juu ya dari… cku ingine nmeamka asbh nikakuta kinyesi mlangoni.. Cku nyingine nguo ya mtoto. Iliyoanikwa ikapotea ..nilihama pale lakin toka cku hiyo mtoto wangu hayupo sawwa ni km kuna mtu anamuongelesha kichwani kwake unaeza ukawa unamfundisha mwenzio anatabasamu nimehangaika sana kiukwelizake… na cna raha… je nikitumia chumvi inaweza kumsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana sana mwenyez mungu yu pamoja nawe mwanao atarud katika hali yake
 
Energy is all around us. And the more mindful we are of surrounding energy, the more we begin to understand its subtle impact.

Negative energy can be impacted in both the body and the home.

Here are a few red flags that indicate you may have a buildup of negative energy in the body:

Constant headaches

Tension

Restlessness

Insomnia

Stomach pain

Fatigue

Difficulty breathing

Brain fog

We can all agree that these physical symptoms of trapped negative energy are unpleasant.

So, what do you do

Simply sprinkle salt (a small grain type) on the carpet. After about an hour, vacuum. Salt crystals have an amazing natural built in-ability to absorb negative energy. As an alternative, you can put bowls of salt in the corners of the room and remove after a few hours. *this works for people too. Instead of sprinkling yourself with salt, take a bath with 2 cups of sea salt in it. It’s grounding and clearing all at the same time.
Salt is a spiritual Remedy for removing negative energies.
Cc.Mshana.jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Full-Moon-Water.jpeg

Ungeandika kwa kiswahili ingenoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom