Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,746
- 861,149
- Thread starter
- #221
Vyote ni sawa tu oga kisha jimwagie ama ogea, na ya kuzungusha si lazima iyeyuke yoteMshana kwanza ahsante kwa somo zuri , pili naomba kuuliza nmeshindwa maliza maoni ya wakuu sijui uvivu ,jinsi ya kuogea ni kwamba naoga kwanza halafu nachukua maji masafi natia chumvi nanuiza ama naweka moja kwa moja kwenye maji naog? Halafu hyo ya kumwaga kuzunguka kitanda je nailoweka kwenye maji ama nzima nzima kama ilivyo,ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app