Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Mkuu unaongea kiswahili au kituruki? Kwanza nani kakwambia Tanzania is supporting FDLR? inaonekana una chuki na Tanzania mkuu. Kuwa mpole husije ukajitengenezea jinamizi kama Mzee kagame.
ndugu yangu support ya FDLR siyo siri tena! hiyo inajulikana sana.....ahahhh kumbe na tanzania niwakandamizaji wa freedom of speech?? acha ninyamaze nisije tolewa kucha bila ganzi.
 
Tuliza boli, huu mchezo ndo kwanza PK anauingia, siye tuko huko long time.
Picha hii haijaisha kama mnavyofikiri, na A Kusini hawanyongi watu kama hao "WaTz" walioshikwa.
Kwa hiyo baada ya kifungo watarudishwa tu bongo, na hapo mbivu na mbovu zitajulikana

Kwa nini tusubiri mpaka wamalize kifungo then ndiyo tuwajue kama ni Watanzania ama siyo Watanzania? Kazi ya watu wa Usalama wa Taifa na Ubalozi wetu ulioko South Africa kazi yake ni nini. Sisi Watanzania alieturoga alishakufa kwa hiyo wacha tuendelee kuonekana wajinga mbele ya jumuia za kimataifa.
Hii issue si ndogo sana, haiwezekani mtu ajiombee zake hifadhi ya ukimbizi then eti Mtanzania Mnyarwanda anatumika kumuua sisi tunakaa kimya.TISS na ubalozi ndiyo kazi yake kwenda pale mahabusu waliopo hawa jamaaa tena waende wakiwa na waandishi wa habari wawahoji kweli kama ni Watanzania halali na ndugu zao hapa Tanzania wapo wapi.Wakishajiridhisha then waje kutuambia ukweli ama waiambie dunia ukweli wa wahusika wa mauaji hayo.Anyway wacha tuendelee kupambana na UKAWA mwaya
 
attachment.php

Tanzania has terrorists instead of tourists. No doubt these are Tanzanians, its pretty obvious, we've both good and bad Tanzanians all around the globe.
Remember in the past, for those who captured in China for transporting Cocaine. We may only see someone is travelling across the countries and think he's innocents but w
e actually don't know on what every Tanzanian is doing in the abroad. Because of poverty some folks are doing illegal business.That is because of Globalization
 
Hawa si watanzania na ni kazi ndogo yaangaliwe mafile yao pale uhamiaji na yeyote aliyehusika atiwe ndani. Tutaujua ukweli uko wapi
 
Kweli watu wana rwandaphobia humu jamvini,investigators wamethibitisha kwamba ni raia watanzania lakini bado hamkubali,kwanini watanzania wasiwe waalifu? mtu anadiliki kubeba unga uchina wakati anajua kwamba akikamatwa ni kunyongwa sembuse kuua mtu?
Mkuu hiyo ni project ya Kagame, no doubt about it.
Kagame anafanya kila njia kuliingiza jina la Tanzania kwenye matope, na anafanya hivyo usiku na mchana.
Mwisho wa kujiamini kwake ilikuwa pale alipofikiri anaweza "kum-hit Kikwete" whwn the time is ripe!!!

Sasa amejionea mwenyewe, Tanzania can also be as cunning ad may hit back directly.
Hao watu kwa minajili ya mauaji ya huyo Mrwanda huko A Kusini walikuwa recruited na Kagame-its a fact.

Hii casee ndo kwanza inaanza.
 
Acheni waste time kwa sababu ya chuki zenu kwa Kagame,hao ni 3 Tanzanian convicted criminal tuu and no more and I hope TZ government haitajiingiza kwenye childish game za JF kukataa hao sio watanzania na kuanza kumlaumu Kagame,hawana tofauti na watanzania wauza unga,malaya wa Dubai,Al shabab wannabe etc
 
MUKAMASIMBA unadhihirisa Unyarwanda wako. Wape njia rahisi WENYEWE wafanye kazi yao. Inawezekana wewe ni mmojawao uliye na pasi ya kijani, chunga sana matumizi yake. Kelele za nini, baada ya muda mfupi ukweli utajulikana kuhusu utaifa wao. Mtawafunga hata wapigania Uhuru wenzenu!
 
ndugu yangu support ya FDLR siyo siri tena! hiyo inajulikana sana.....ahahhh kumbe na tanzania niwakandamizaji wa freedom of speech?? acha ninyamaze nisije tolewa kucha bila ganzi.

Nafahamu Wabongo wana ungumu wa kiaina katika uhusiano na majirani, haswa hawa hapa wa JF. Lakini huwa naona wapo zaidi na chuki fulani dhidi ya Wanyarwanda, inapotokea kuponda Rwanda huwa wanajitokeza kwa fujo. Hivi labda nielimishe nini chanzo cha hii chuki, maana sidhani kama ni ule mgogoro wa PK na JK, lazima kuna lingine limejificha.

Kitu gani kingine mliwachokonoa hawa Wabongo kiasi cha kuwa na jazba kiasi hiki. Hivi kweli Mnyarwanda anaweza kunywa beer Dar es Salaam na kwa ulevi ajitangaze kuwa yeye Mnyarwanda, hivi itakuaje??

CC: kadoda11
 
Last edited by a moderator:

cc jMali....mtani hebu mfafanulie huyu jirani yetu manake wewe ndio "mwenyekiti"
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78

Ndugu yangu, mimi nakushangaa umekaa bongo alafu ukija humu JF unajifanya kutojua. Hata hivi sasa nipo kinondoni naenda kunywa bia na rafiki yangu yeye ni mnyarwanda na namsaidia aende mkoa akafanye biashara za madini. Sisi ni watu wazuri, hatujui kubagua watu kabisa kutokana na nyerere alivyotufundisha.
Mbaya ni ile mtu anapoanza kukudharau. Kwani kama Kagame hakupendezwa na neno aliloongea kikwete si angemjibu kistaarabu kuwa mimi siwezi kukaa nao hao FDRL?
Kwanini amemtisha? amini husiamini wote wanyarwanda, kongo, wakenya na wengine wakiwa huku husema hivyo kwamba kagame hakujibu kiuungwana. Nyerere alituambia waafrica ni wamoja na kama kuna nchi ya africa haijawa huru na sisi tujisikie bado hatuko huru. Ndo maana tuliwasaidia sana zimbabwe, south africa, mozambiq etc.
 
Last edited by a moderator:
JustDoItNow

Bongo nimepiga beer na jamaa na sijawahi kubaguliwa, tumezunguka club hadi club. Lakini hili la Wanyarwanda sielewi hapa JF mbona huwa mnawapumulia shingoni hivi. Kama ni kosa la Kagame mbona lisibaki kuwa ugomvi baina ya viongozi. Kweli hata mimi sikupendezwa na jinsi PK alivyomjibu JK, lakini raia wa Kirwanda ni innocent na hawahusikani.
 
Don't worry,hawa wapiga kelele JF are not even Tanzanians...most of them are wanted criminals/genociders na familia zao living in TZ,watanzania hawana chuki au akili za hawa criminal propagandist waliojaa JF spreading hate and ocean of lies against Kagame or anything tutsi
 
Huyo jamaa kuna wakati anaongea mambo mazuri, lakini kuna wakati haeleweki kabisa. Kwani mahakama kusema ni mtanzania ndo kweli ni mtanzania? nafikiri uwezo wake wa kufikiri ni kiduchu sana.

Bora hata mahakama
Kwan wewe ukisema sio watanzania ndo kweli sio watanzania? Nafikiri thinking capicity yako iko low sana,
Vyombo vya habari vilitangaza mwalimu nyerere kafariki katika hospital ya mt thomas mbona uliamini! Hivyohivyo vyombo vya habari vimetangaza wale ni watanzania ubishi unatoka wapi tena?! Au unataka mambo yaende kama hisia zako zinavyotaka?! Ni utoto
Haya tusicoment kwa hisia mimi nasema hivi wale ni watanzania. Source: BBC
Haya na wewe unayesema sio watanzania hebu tuthibitishie hilo pasipo na shaka
 
Back
Top Bottom