Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Bovidae nahisi ni uvivu wa kufikiri, ufinyu wa mawazo au mada inayojadiliwa hukuipata vema pengine wewe si Mtanzani mzalendo, ni mmoja wa walewale. You have generalised issues hata kuweka siasa ndani yake. Just be specific and focus on WANYARWANDA WANAOUAWA NJE YA NCHI YAO! Usitoke nje ya hapo. Roho ya uuwaji kwa uliowataja hapa nchini ni Waganga wa Kienyeji na fallacy ya Utajiri na issues za Kisiasa za ndani. Tunawajua wapo wengi kwa kuwa tu pasi za Tz basi makosa yote wanayofa ya nje ya nchi ni ya wa Tz mfano drug trafickers. Correct yourself and watch your back.
 
as long as wana passport za tz ni watz dhiki zao zimewafanya wadanganyike na mkwanja ili wapige tukio shame on them who is behind it katulia kimya anakula raha
 
ao ni wa Tanzania, as long as they have satified documents to legalize their tanzanian nationals, watanzania si wasafi kiasi cha kukana ovu la watanzania wenzenu, na kukataa sura,
kwani tanzania sio china kwamba watu wamefanana au kuna sura maalum, sura izo zipo tanzania zimejaa tele, na matendo kama ayo pia hufanyika tena ni mengi zaid ya hayo
mim naiamini sana mahkama ya south africa, haiwezi kukurupuka, km mahkama za tanzania

muache ukanjanja, na cfa za kijinga ambazo sio tu kwamba hamna, ila ata hamtazipata, kwa maana ushenzi ni tabia za wabongo zilizomo kwenye damu na ubongo, tangu mnazaliwa na mnarithishana kizazi na kizazi

Wewe una matatizo ya ki saikolojia.... Si bure. Nakushauri ukapimwe akili kwanza ndo uje tena hapa uongee.
 
as long as wana passport za tz ni watz dhiki zao zimewafanya wadanganyike na mkwanja ili wapige tukio shame on them who is behind it katulia kimya anakula raha

Huyo jamaa anatafutwa na Kagame. Kagame ndo anataka kumuua. Kilichofanyika ni kuwa wametafuta passport za Tanzania ili hata ikibainika kama sasa ionekane kuwa ni watanzania. Hao ni wanyarwanda wenyewe.
 
kusema kweli kagame anatuaibisha sana, ni sawa na kunguru kumnyea mtu wakati anapita. sasa watanzania wakienda south africa wanaangaliwa kwa jicho baya kwasababu tu ya kagame. kagame ni mtu wa kuadhibiwa kabisa. sijui viongozi wetu watachukua hatua gani dhidi ya Rwanda/kagame kutokana na doa hili analolisababisha kwa watz. watz wanaoishi south sasa hivi watakuwa wananyanyapaliwa na kuonekana kama wauaji kwasababu tu ya kagame.

Yaani ni kukavamia ikulu yake tuweke rais mwingine wa rwanda. aka kajamaa ni kajinga sana. Tukikaacha ndo kanazidisha.
 
MUKAMASIMBA, hawa watu bwana...wakati hii inaanza walipiga kelele wee eti ni Kagame kumbe ni watz waganga njaa walikuwa wanataka kumuibia jamaa gari lake

Mkuu hizo trick kagame anazotumia ni za kitoto. Hao jamaa ni wanyarwanda. Kupata passport ya Tanzania, Kenya au Rwanda siyo big deal. Hwawezi kuenda kufanya kazi kama hiyo wakatumia passort za nchi yao. Tumia akili wewe.
Mnacheza vimichezo vya kijinga tu.
 
Huyo jamaa anatafutwa na Kagame. Kagame ndo anataka kumuua. Kilichofanyika ni kuwa wametafuta passport za Tanzania ili hata ikibainika kama sasa ionekane kuwa ni watanzania. Hao ni wanyarwanda wenyewe.

Hii inatokana na urahisi wa kupata passport zetu. Ningekuwa kiongozi serikalini nigehitaji kujua mchakato mzima wa jinsi jamaa hao walivyopata passport

The can either be Tanzanians, because Tanzanians also do commit such crimes

The can be just people with Tanzanian passports which in the eyes of South Africa are in fact Tanzanians (as per they passports)

The important of all is to get to the bottom of it.
 
Huyo jamaa anatafutwa na Kagame. Kagame ndo anataka kumuua. Kilichofanyika ni kuwa wametafuta passport za Tanzania ili hata ikibainika kama sasa ionekane kuwa ni watanzania. Hao ni wanyarwanda wenyewe.
eti wamewavika vikofia na majina ya kislaam waonekane watanzania wakati sura na mapua ya kitutsi. yote akili ya kichwa maji mjivuni pk
 
Mtanzania anayetuhumia kuhusika katika mashambulio ya mabomu dhidi ya balozi za Mareka mjini Dar es Salaam, Tanzania na Nairobi, Kenya mwaka 1998, Ahmed Khalifan Ghailan,ametajwa juzi na mwendesha mashtaka wa mahakama ya Manhattan nchini Marekani kama muuaji wa halaiki.

Ghalaini anatuhumiwa kuwa mwanachama wa kikundi cha Al-Qaeda katika eneo la afrika Mashariki kilichopanga na kufanya mashambulio hayo ya Julai 7 mwaka 1998.

Ghalain ambaye alikuwa ameshikiliwa awali katika gereza la Guantanamo nchini Cuba, ndiye mshukiwa wa kwanza katika gereza hilo kufunguliwa mashtaka katika mahakama ya kiraia nchini Marekani.

Jaji Lewis Kaplan anayesikiliza kesi hiyo amesema huenda kesi ya Ghailani ikaendelea hadi mwakani.

Katika mchango wake wa mwisho katika kesi hiyo, mwendesha mashtaka wa mahakama Manhattan, Harry Cherttoff alisema, Ahmed Khalfan Ghailani ambaye alikuwa ameketi viti kadhaa upande wake kushoto, ni muuaji wa halaiki mwenye alama ya adamu ya mamia ya watu mikononi mwake.

Ghalaini, Mtanzania anayetoka Zanzibar, ana umri wa miaka 36 na anahusishwa sana katika kupanga mlipuko ya mabomu katika balozi za Marekani katika mji wa Nairobi na Dar es Salaam mwaka 1998 yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu mia mbili.

Mshukiwa huyo alikana makosa hayo.
Mahakama ya Manhattan ipo hatua chache kutoka katika jengo la mnara wa World Trade Centre (WTC) ambapo shambulio la kigaidi la september 11 mwaka 2001, lilitekelezwa na wanachama wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda.

Wachunguzi wanalinganisha uhusiano uhuo kama hatua kubwa ya kutanzua mashambulizi ya kigaidi.

Raisi Barack Obama wa Marekani alitoa amri ya kufungwa kwa mahakama ya kijeshi ya Guatanamo na washukiwa wanaoshikiliwa wafunguliwe mashtaka katika mahakama ya kiraia.

Azimio hilo lililpingwa vikali na wachunguzi kadhaa wakidai kuwa uzito wa kesi hizo za ugaidi haufai kushughulikiwa katika mahakama za kiraia

Teh! Teh! Atakuwa alitumwa na kagame huyo
 
Mimi sijaelewa point yako kiongozi
 
eti wamewavika vikofia na majina ya kislaam waonekane watanzania wakati sura na mapua ya kitutsi. yote akili ya kichwa maji mjivuni pk

Udhaifu uko serikalini. Raia wako akiwa nje na akishtakiwa unaanza kuchunguza ukweli wa detail zake kama kweli ni raia wako na unaweka wazi. Ukigundua ni wa kwako unachunguza maisha yake kabla hajaondoka ili kujua pengine hata huku nyumbani alisha commit crime akaamua kukimbia pia kama sio raia wako basi unaliweka wazi ili kusafisha nchi yako kwa serikali ya nchi ile na wananchi wake ili wale wengine wanaoishi huko wasifikiriwe kuwa nao ni wahalifu.
Lakini hii yetu haina muda huo na ndio maana sasa hivi tumechafuka sana huko nje wakati wahalifu wengine wanatumia Passport zetu wakati sio raia.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hivi hao watu,wote kuvaa barakashea siku ya kesi,Na wote kuwa Na majina ya Ki islamu Ni coincedence au planned? Pili,ukichunguza picha hao watu wamefanana Na Ni Kama wa kutoka ethnic moja,chunguza Sana pua zao. Sisemi hakuna watanzania wanaoweza kuhongwa wafanye uhalifu,pia sisemi hakuna watz wahalifu. Ila inatakiwa serikali ya tz kwa kutumia vyombo vyake ishirikiane Na serikali ya south,wawachunguze hao watu asili Yao,walipata wapo pasports,ndugu zao Na koo zao Ni kina nani Na wamekua wakifanya kazi gani siku zote za maisha Yao ya nyuma. Kunaweza kugundulika mengi.
 
Mtauzunguka mbuyu weee lakini ukweli uko pale pale.
 
"uraia pacha na athari zake"
"dual-citizenship & its effects"
 
Kama sisi wenyewe tuliwapa pasipoti kwanini wasiwe Watanzania? Ukweli wenyewe ni kwamba haya ni makeo ya rushwa katika nchi. Sasa tunaabika
 
1. Swala la msingi ni KWA NINI WATAKE KUMUUA NYAMWASA? Mahakama imethibitisha kuwa watuhumiwa walipanga mipango mara kadhaa kwa ajili ya KUMUUA nyamwasa na sio kupora gari lake kama murutongore anavyodai. WHY? Nyamwasa ametukosea nini sisi?
Swala la passports sio ishu sana, relevancy yake inakuja kwenye malengo, so far hakuna jambo lolote ambalo Nyamwasa kaikosea Tanzania mpaka tumtumie watu wa kumuua.

2. Rwandan minister of Defence James kabarebe angeua mtu kabla ya mwaka 1998, watu wangesema "mkongomani" kaua, Rwandan minister for infrastructure Prof Silas Lwakabamba angeua mtu kabla ya mwaka 2010 wangesema "mtanzania" kaua,...Kagame mwenyewe kabla ya 1994 alikuwa "mganda",....there is no doubt kwangu kuwa hawa watu wasingekamatwa, baada ya 2-3 years wangekuwa na passport za RWANDA!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom