aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
Mtoa mada ulioandika mwanzo yote pumba. Labda para ya mwisho tu ndio ina busara. Wale wachukuliwe kule South waletwe tz. Washughurikiwe waseme kinagaubaga walitumwa na nani na mipango ilikuaje(ingawa naskia kule South wameshasema ndio maana yule hakimu through BBC ali conclude kwamba ile attempt iko political motivated!).PK wala msimchokonoe kwani kwanza alisha wakana na alisema wahukumuni mtakavyo,lakini pili' mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani'!
Hapo umesema. Unawapa truth serum tu. Au unatoa jicho na kijiko. Lazima wafunguke!!!