Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
attachment.php

South African court finds three Tanzanians and one Rwandan "guilty of attempted murder" on Friday, after acquitting two others, including the alleged mastermind and Mr. Nyamwasa's former driver

======

Rwanda+Chief+Clip.jpg

Three Tanzanian nationals were on Friday found guilty of trying to kill the former Chief of Staff of the Rwandan Army, Faustin Kayumba Nyamwasa in 2010.

Hemedi Dendengo Sefu, a Tanzanian, was the triggerman during the attempt on Mr Nyamwasas life, reports the BBC.

He was convicted Friday alongside fellow nationals Hassan Mohamedi Nduli and Sady Abdou, and Amani Uriwane, a Rwandan.

The Tanzanian trio are among 6 defendants charged with plotting to kill Mr Nyamwasa, who has emerged as a vocal critic of Rwandan president Paul Kagame since he fled the country in 2010.

The other two defendants were acquitted of all charges.

The verdict was read at a court in Kagiso, about 25km north-west of Johannesburg.

In his ruling, South African magistrate Stanley Mkhari said prosecutors had proven the defendants met several times to plot to kill Mr Nyamwasa, reports the BBC.

The defendants were also found guilty of illegal possession of a firearm and ammunition, according to Reuters.

The magistrate said evidence had shown the plot to murder Mr Nyamwasa was political, and was orchestrated by factions from within Rwanda, reports the BBC.

Mr Nyamwasa's lawyer claims there is clear evidence linking the incident to the government of Rwanda allegations that the Kagame administration has vehemently denied.

The four defendants will be sentenced on September 10.


Source : The citizen

3 Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief - National - thecitizen.co.tz
 
Kusema kweli kagame anatuaibisha sana, ni sawa na kunguru kumnyea mtu wakati anapita. Sasa Watanzania wakienda south africa wanaangaliwa kwa jicho baya kwasababu tu ya kagame. Kagame ni mtu wa kuadhibiwa kabisa. Sijui viongozi wetu watachukua hatua gani dhidi ya Rwanda/kagame kutokana na doa hili analolisababisha kwa watz. watz wanaoishi south sasa hivi watakuwa wananyanyapaliwa na kuonekana kama wauaji kwasababu tu ya Kagame.
 
kusema kweli kagame
anatuaibisha sana, ni sawa na kunguru kumnyea mtu wakati anapita. sasa
watanzania wakienda south africa wanaangaliwa kwa jicho baya kwasababu
tu ya kagame. kagame ni mtu wa kuadhibiwa kabisa. sijui viongozi wetu
watachukua hatua gani dhidi ya Rwanda/kagame kutokana na doa hili
analolisababisha kwa watz. watz wanaoishi south sasa hivi watakuwa
wananyanyapaliwa na kuonekana kama wauaji kwasababu tu ya
kagame.

Ndugu, watutsi wenye passport za Tz ndiyo wanatumika kuichafua Tz. Siyo waTz halisi hao!
 
kusema kweli kagame anatuaibisha sana, ni sawa na kunguru kumnyea mtu wakati anapita. sasa watanzania wakienda south africa wanaangaliwa kwa jicho baya kwasababu tu ya kagame. kagame ni mtu wa kuadhibiwa kabisa. sijui viongozi wetu watachukua hatua gani dhidi ya Rwanda/kagame kutokana na doa hili analolisababisha kwa watz. watz wanaoishi south sasa hivi watakuwa wananyanyapaliwa na kuonekana kama wauaji kwasababu tu ya kagame.

Kagame wapi na wapi? Majambazi yenu mnamtupia Kagame. Hata hao wabeba unga mtasema kagame ndio anawapa mzigo. Pleeeeeeaase.
 
watanzania bana! vibaya vyote vya rwanda....mazuri ya tanzania..ahahahahahha...sasa sura za watanzania zikoje?
MUKAMASIMBA, hawa watu bwana...wakati hii inaanza walipiga kelele wee eti ni Kagame kumbe ni watz waganga njaa walikuwa wanataka kumuibia jamaa gari lake
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh.
Awa ni waTz kweli.. majina & sura si za ki Tz.

Sura za Kitz hukaa vipi, dah! nyie mna shughuli kweli. Badala ya kulaani maovu ya wenzenu mnaanza ubishi wa eti sura. Mimi wangekua Wakenya ningeomba wanyongwe tu, siwezi kamtetea jangili.

kadoda11 Geza Ulole Bulldog njooni na ninyi mtuambie eti kofia walizovaa si za Kitanzania.
 
Last edited by a moderator:
kusema kweli kagame anatuaibisha sana, ni sawa na kunguru kumnyea mtu wakati anapita. sasa watanzania wakienda south africa wanaangaliwa kwa jicho baya kwasababu tu ya kagame. kagame ni mtu wa kuadhibiwa kabisa. sijui viongozi wetu watachukua hatua gani dhidi ya Rwanda/kagame kutokana na doa hili analolisababisha kwa watz. watz wanaoishi south sasa hivi watakuwa wananyanyapaliwa na kuonekana kama wauaji kwasababu tu ya kagame.

Yote hii ni tamaa ya pesa tu na umaskini. Watakuwa walipewa vijisenti wakaona ni sawa kuondoa uhai wa mtu ilimradi wao mkono uende kinywani. Watanzania wasio na kazi maalum South wangesakwa warudishwe home siyo kutudhalilisha namna hii. Tena mshenzi mwenyewe aliyewatuma ni Kagame ambaye ni adui yetu. Wapuuzi kabisa hawa. Wanyongwe kabisa iwe fundisho kwa wengine
 
mnajitekenya na kucheka wenyewe. Time is your worst enemy (and thats what y'all need to focus on) not refugees.

Huu ni mwaka sijui wa ngapi nasoma hizo kauli zenu lakini sijaona chochote kilicho badilika. Uneweza kunipa timetable yako labda...lini kesho, this year, the next decade, the next century...mnaumbuka kila siko na maneno yenu yasiyokuwa na uzito wowote.
 
Mi ni mtanzania ila nasema hakuna mtu mshenzi kama Mtanzania, acheni kudanganya ulimwengu sisi ni malaika, kila jambo baya twasingizia watu mazuri twajisifia! Wanaokamatwa na dawa za kulevya wanatumwa na kagame? Na hizo pembe za ndovu kwenye meli za wanasiasa wetu zilitumwa na kagame?

Kagame ndo alilazimisha watu tena watz wenzetu kufanya mapenzi ni mti kwenye operation tokomeza? Ebu tuwe wa kweli, hadi sasa ndugu zetu albino maisha yao ni ya hofu tupu, wengine hawana baadhi ya viungo vya miili, na wengi tu wamepoteza maisha na bado wanasakwa je ni kagame ndo anafanya hayo?

Kama ndiye basi huyu kagame ni noma sana na kama siye je kama tunaweza fanya mambo niliyoorodhesha hapo juu je tutashindwa kufanya tukio la kijambazi kama hilo la s.africa?!
 
Hakuna mtanzania pale, msilazimishe utanzania kwenye siasa chafu za Kagame. Pelekeni upuuzi wenu kigali. Na wakwetu ubaki Dsm. Ila msifanye upuuzi wenu wa huko Kigali ni wa East Africa yote.
 
Haya ni matokeo ya Wakimbizi na huruma ya Watanzania. Mapandikizi yamejaa nchini hadi kukiliki pasi za Tz. Huku Kagera yanajiita Wahangaza. Ukiyakuta Dar yanaoa dada zetu kuhalalisha Utaifa. Hata ajira zetu yanachukua. Watanzania hawakuzaliwa na roho mbaya za MAUAJI kama hao washukiwa. Hìyo ni mikono mirefu kutoka nchi jirani. Nyuso mbaya kama zilivyo roho zao.
 
Haya ni matokeo ya Wakimbizi na huruma ya Watanzania. Mapandikizi yamejaa nchini hadi kukiliki pasi za Tz. Huku Kagera yanajiita Wahangaza. Ukiyakuta Dar yanaoa dada zetu kuhalalisha Utaifa. Hata ajira zetu yanachukua. Watanzania hawakuzaliwa na roho mbaya za MAUAJI kama hao washukiwa. Hìyo ni mikono mirefu kutoka nchi jirani. Nyuso mbaya kama zilivyo roho zao.

Kama watanzaniia hawakuzaliwa na roho mbaya za mauaji basi wamezipata ukubwani. na sioni kama ni halali kila jambo kuwatupia mzigo wengine, japo mengine yanaweza kuwa. Ina maanna hapa Tanzania watu hawauani au kuua au kuuawa? Nini kilimkuta Dr. Senngondo Mvungi, Kibanda, Dr.Ulimboka, Daudi Mwangosi, Profesa Juan Timoth Mwaikusa[FONT=Droid Sans, Arial, Helvetica, sans-serif], [/FONT]na jana tu huyu binti Betty Ndejembi aliyeokotwa mtaroni akiwa annakaribia kukata roho? Hao ni wachache tu na bado kuna mengi kama watu kuuwawa kwa mabomu na wangine kumwagiwa tindikali...ina maana yote haya hayafanywi na watanzania? Roho ya mtu ni yake peke yake, si ya taifa. Kama wametumiwa wakatumika, au wameamua wenyewe hakuna kuwatetea. Kama wamesingiziwa, hilo ni suala jingine.
 
ao ni wa Tanzania, as long as they have satified documents to legalize their tanzanian nationals, watanzania si wasafi kiasi cha kukana ovu la watanzania wenzenu, na kukataa sura,
kwani tanzania sio china kwamba watu wamefanana au kuna sura maalum, sura izo zipo tanzania zimejaa tele, na matendo kama ayo pia hufanyika tena ni mengi zaid ya hayo
mim naiamini sana mahkama ya south africa, haiwezi kukurupuka, km mahkama za tanzania

muache ukanjanja, na cfa za kijinga ambazo sio tu kwamba hamna, ila ata hamtazipata, kwa maana ushenzi ni tabia za wabongo zilizomo kwenye damu na ubongo, tangu mnazaliwa na mnarithishana kizazi na kizazi
 
Back
Top Bottom