Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

You don't even understand na akili yako ya kuku.

Kutukana kila mtu mjinga mjinga anaweza, tofauti na kujenga hoja.
So far huja prove kuwa tofauti na sans culotes from the gutters.
Yer just another despicable character that one flushes down the toilet.
 
Mahakama imesema yafuatayo nanukuu:

1. prosecutors had proven the defendants met several times to plot to kill Mr Nyamwasa,

2.
The magistrate said evidence had shown the plot to murder Mr Nyamwasa was ‘political,’ and was orchestrated by factions from within Rwanda, reports the BBC.

Tukizingatia conclusion ya mahakama kwenye red hapo juu, common-sense inatadai mojawapo kati ya haya:

1. Theory ya kwanza ingawa ni hafifu, ni kuwa hawa jamaa kweli ni watanzania, lakini wamekuwa recruited na Rwanda kwa ajili ya tukio hilo. Bado mhusika mkuu anakuwa Rwanda. Mahakama imesema wahusika walipanga mara kadhaa na lengo halikuwa lingine zaidi ya kumuua Nyamwasa. Watanzania na Nyamwasa wapi na wapi? these guys IF ARE AT ALL TANZANIANS, then they are just mercenaries working for Rwanda. Mtu asiye na bias ataona hoja ni Rwanda the dog master na sio mbwa waliotumika...

2. Theory ya pili ambayo kwangu ina nguvu kubwa, ni kuwa hawa sio watanzania kabisa bali wanatumia passport za Tanzania kwa ajili ya ushenzi wao. Nimesema theory hii ina nguvu kwa sababu katika mambo ya assassination, wanaofanya sio majambazi wa kawaida, vibaka au mateja. Hii ni assassination ya FORMER SPY CHIEF anayeheshimika kwenye fani. Hivyo kwa vyovyote vile hawa jamaa lazima ni "wataalamu" wenye ujuzi, watu ambao watakuwa jeshini, usalama wa taifa etc, hawa sio vibaka na mateja wa kawaida wanaotumwa kwenye matukio ya kuua mtu aliyekuchapia mkeo. Assassination, tena ya high-profile target kama NYAMWASA anayelindwa na serikali ya SA inafanywa na professionals.
Assasins kama hawa, ingawa ni disposable pale wanapokamatwa, huwa ni watu muhimu sana kwa nchi husika. Watu hawa wa kufanya "this type of thing" huwa hawakodishwi, and to my knowledge these professionals don't retire and do "consultancies" for other nations, muajiri wao ni mmoja tu, i.e the State. Now,which state would want to kill Nyamwasa?

Uraia hauthibitishwi kwa passport pekee. Wanaobisha wakumbuke kuwa at one point wapigania uhuru wengi wa nchi za SADC walikuwa na GENUINE TANZANIAN PASSPORTS: Nelson Mandela, Thabo Mbeki, Raila Odinga....hata juzi juzi Kikwete alitania kuwa labda Mbeki hajarudisha passport yake....Je, hawa walikuwa raia wa Tanzania wakati huo? Of course Raila angekamatwa ujerumani wasiomjua wangesema "huyo ni mtanzania", lakini wakenya na watanzania wangejua ukweli. Sioni ni kwa nini mtu abishe hili wakati hakuna political motive yoyote kwa mtanzania halisi kumu-assasinate former Rwandan intelligence officer.
In 2010 Israel Mossad waliua kiongozi wa Hamas nchini Dubai. Mossad walitumia passport za Uingereza, Ujerumani, Australia, Ireland, France n.k. Lakini mara tu baada ya tukio, kabla hata ya kuthibitisha israel wamehusika, hakuna mtu aliye-downplay kuhusika kwa Israel, na badala yake kushupalia "uraia" wa hawa assassins. Kila mtu alienda straight to Israel, knowing nani ana maslahi ya kumu-assassinate kiongozi wa Hamas. Inashangaza watu wanavyokazania passport za hawa jamaa na kujifanya hawaoni the facts toka MAHAKAMA, nanukuu tena "the plot to murder Mr Nyamwasa was ‘political,’ and was orchestrated by factions from within Rwanda"

Nasisitiza tena, kwa any great thinker, swala ni motives kama ambavyo Mahakama imesema. Mahakama isingesema hilo, hao jamaa wangekuwa just normal criminals, wezi wa magari, majambazi, vibaka, mateja etc. Lakini MAHAKAMA imeona KUTOKANA NA USHAHIDI, kuwa suala lilikuwa ni assassination, na kwamba it is politically motivated, tena ikaitaja Rwanda specificially.

Kana kwamba haitoshi, HATA MAHAKAMA ISINGESEMA, historia ya Rwanda kwenye matukio kama haya mbona iko wazi? niwakumbushe kidogo:

Juzi juzi tu hapa South africa imegombana na Rwanda kwa ajili hiyo hiyo. "majambazi wenye silaha" walimkosa kosa Nyamwasa nyumbani kwake, polisi wa SA walishangaa walipowakimbiza, hawa "majambazi" walikimbilia ubalozi wa Rwanda wakafunguliwa geti wakaingia na kufungiwa humo, ikabidi kwa taratibu za kidiplomasia polisi waishie getini...kuja kucheki kumbe hao "majambazi" ni wafanyakazi wa ubalozi wa Rwanda. Ikabidi watimuliwe!

Jirani zetu KENYA, yes, kenya hii hii ya ndugu lawmaina78 ambayo leo inashabikia COW, ilishawahi KUFUNGA UBALOZI WA RWANDA mwezi juni, mwaka 1996, why? wapinzani wa Rwanda waliuawa mjini nairobi, tena hiyo ni baada ya kukoswa koswa mara ya kwanza. Polisi wakamkamata muuaji eneo la tukio red-handed akiwa na bastola iliyotumika kwenye mauaji hayo. wakamuweka ndani. Baadae intelligence ya kenya ikagundua kumbe jamaa actually ni AFISA UBALOZI WA RWANDA, aitwaye Francis Mugabo. Kutokana na hilo wakenya wakavunja diplomatic relations na Rwanda.

Mwaka 2011, intelligensia ya uingereza MI5, ilimwambia wazi wazi tena kwa Press release, balozi wa Rwanda nchini humo (High commissioner) Ernest Rwamucyo kuwa wamemshtukia anapanga njama dhidi ya wanyarwanda nchini humo kwa hiyo aache mara moja vinginevyo....

Mwaka 2012 SWEDEN ilimfukuza KAIMU BALOZI WA RWANDA nchini humo Evode Mudaheranwa, aondoke sweden ndani ya masaa 48 kutokana na kupatikana ushahidi kuwa anapanga mauaji ya mwandishi wa habari Bosco Gasasira nchini humo!

kichekesho zaidi ni mwaka 2010, balozi wa Rwanda nchini Netherland, Jean Pierre Bizimana ALIKATAA KURUDI RWANDA na akaenda kuomba hifadhi kama MKIMBIZI WA KISIASA NCHINI IRELAND. Alipohojiwa aliweka wazi kuwa akirudi atashikishwa adabu kwa kukataa kutimiza mpango wa kumuua Victoire Ingabire huko huko Netherland mwaka huo huo kabla hajarudi Rwanda kugombea urais. Kagame alishawatuma wauaji ili waje kumuua Victoire ingabire, baada ya kusikia huyu mama kaanzisha chama na anakuja kugombea urais. Kazi ya balozi kama kawaida ilikuwa ni kuwapa cover ya "uafisa ubalozi" hawa wauaji, na kusawazisha mambo kwa kudai diplomatic immunity endapo mambo yataenda sivyo. Huyu balozi alikataa. mtani murutongore how does one make this stuff up?

Hata sasa ukicheki balozi nyingi za Rwanda utakuta kuna unusual high number of "former professionals". We tafuta CV zao tu, unaweza kukuta katika ubalozi mzima mwanadiplomasia halisi asiyejua bunduki inashikwaje ni mmoja au wawili ila maofisa waliobaki wote waliwahi kuwa jeshini, polisi, usalama wa taifa, komando..yani wote wanajua kuchezea silaha, wote wanajua how to kill people professionally! Hiyo sio bahati mbaya, the truth ni kuwa hao jamaa bado wako kazini. Mchana mabalozi usiku majasusi.
Mfano: pale EAC kuna katibu wa sasa anaitwa AMBASSADOR Richard sezibera, a very diplomatic guy, CV yake kwa juu juu inasoma "medical doctor"...,"former ambassador to...." "former minister....." hautaweza kuona cheo cha MAJOR alichokipata wakati akiwa mwanajeshi wa kundi la waasi wa RPA chini ya kamanda wake Kagame... vitu kama hivyo!

pamoja na ushahidi wote huo inakuwaje mtu akinyooshea kidole Rwanda anaambiwa ooh, wewe mhutu, wewe unachukia watutsi, wewe genocidaire, wewe sijui FDLR...
Swali ambalo watanzania halisi tunapaswa kujiuliza hapa JF ni kuwa: Kwa nini baadhi ya watu wamebadili hoja ya msingi kuwa ni "uraia" wa hawa assassins badala ya hoja ya msingi zaidi: LENGO LA TUKIO NA NCHI ILIYOTAJWA WAZI WAZI NA MAHAKAMA?

cc: Patrick Elias RUCCI JustDoItNow MUKAMASIMBA bornagain Mdondoaji masopakyindi murutongore Bankobeza Kyamani lawmaina78 Koba
 
Last edited by a moderator:
Inatisha...nilishawahi soma hili kuhusu hizi shutuma kuwa Balozi za Rwanda ni threat kwa maisha ya wanyarwanda walioko Ughaibuni...andiko lako limetoa summary nzuri...

jMali
 
Last edited by a moderator:
jMali

ningeomba Invisible aunganishe pale juu kabisa umechambua vizuri sana mkuu tatizo sisi watz hatusomagi vizuri vichwa vya habari sijui ni uzembe au kutojua lugha umefafanua vizuri kwa kiswahili mkuu
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78

mkuu
for you to understand the source of all this,first you need to get out of the pandora box to decode an above candid observation ,shared by jMali.

achana na hao wanyarwanda akina murutongore na Koba,watakupotosha.
 
Last edited by a moderator:
jMali

Vyovyote yaweza kuwa! Ila point hafifu kabisa ni kusema watanzania na nyamwasa wapi na wapi! Kila mtu anajua tumekuwa uhusiano mbovu na rwanda kiasi kwamba nchi yetu ilikaa bungeni kupiga umbeya kuhusu rwanda wakat huko kijijini watu hawana maji safi ya kunywa.

Na hatujui mkulu wetu na wa rwanda wanamambo yao gani, inaweza kuwa hivi kwa kuwa watanzania tunajua kagame na nyamwasa haziwaki na kwa kuwa Tanzania na Rwanda haziwaki pia, basi watanzania tukaamua kumuwinda nyamwasa na kumuua ili kumchafua mbaya wetu kagame, make iko wazi kudhurika kwa Nyamwasa atakayenyoshewa kidole ni kagame ivyo basi kuna uwezekano kabisa watanzania tumetumia hiyo trick lakini bahati mbaya tumenaswa.
 
Last edited by a moderator:
Vyovyote yaweza kuwa! Ila point hafifu kabisa ni kusema watanzania na nyamwasa wapi na wapi! Kila mtu anajua tumekuwa uhusiano mbovu na rwanda kiasi kwamba nchi yetu ilikaa bungeni kupiga umbeya kuhusu rwanda wakat huko kijijini watu hawana maji safi ya kunywa,
Na hatujui mkulu wetu na wa rwanda wanamambo yao gani, inaweza kuwa hivi kwa kuwa watanzania tunajua kagame na nyamwasa haziwaki na kwa kuwa tanzania na rwanda haziwaki pia, basi watanzania tukaamua kumuwinda nyamwasa na kumuua ili kumchafua mbaya wetu kagame, make iko wazi kudhurika kwa nyamwasa atakayenyoshewa kidole ni kagame ivyo basi kuna uwezekano kabisa watanzania tumetumia hiyo trick lakin bahati mbaya tumenaswa

Mkuu nina wasiwasi na wewe huenda ikawa ni mnyarwanda, yaani akili yako inakutuma kabisa mtz badala ya kufanya cha maana aamue kumuua Nyamwasa? Kwa kumpenda saana Kagame au? Mkuu wazo lako kwangu halina mshiko samahani sana kwa hilo.
 
jMali

Vyovyote yaweza kuwa! Ila point hafifu kabisa ni kusema watanzania na nyamwasa wapi na wapi! Kila mtu anajua tumekuwa uhusiano mbovu na rwanda kiasi kwamba nchi yetu ilikaa bungeni kupiga umbeya kuhusu rwanda wakat huko kijijini watu hawana maji safi ya kunywa.

Na hatujui mkulu wetu na wa rwanda wanamambo yao gani, inaweza kuwa hivi kwa kuwa watanzania tunajua kagame na nyamwasa haziwaki na kwa kuwa Tanzania na Rwanda haziwaki pia, basi watanzania tukaamua kumuwinda nyamwasa na kumuua ili kumchafua mbaya wetu kagame, make iko wazi kudhurika kwa Nyamwasa atakayenyoshewa kidole ni kagame ivyo basi kuna uwezekano kabisa watanzania tumetumia hiyo trick lakini bahati mbaya tumenaswa.

Theory yako ni nzuri sana kwa mtu ambaye hana ufahamu juu ya haya mambo. Na nadhani wewe haujui haya mambo. Kwa lugha ya kimjini tunasema "umedandia treni kwa mbele". Uwezekano wa Tanzanian intelligence kumuua Nyamwasa ili kumchafua kagame haupo kwa sababu zifuatazo:

1. Kesi hii ni kwa ajlii ya tukio la mwaka 2010 na sio hili ambalo Nyamwasa amekoswa koswa juzi juzi. Mwaka 2010 hatukuwa na mgogoro wowote na Rwanda. Nadhani mpaka hapo theory yako tayari imeshakufa.

2. Hata kama kesi hii ingekuwa ndio hiyo ya tukio la pili, uwezekano wa Tanzania taking all that trouble ili tu "kumchafua" kagame is just nonsense (with all due respect). Kagame hatuumizi kichwa kiasi hicho. vile vile Nyamwasa na south africa ni marafiki wakubwa sana. Sisi na South africa ndio ndugu kabisa. Nyamwasa amekuwa na mchango mkubwa sana kiinteligensia kwa ajlii ya mambo yale ya Congo DRC dhidi ya M23 na wengineo. Kiufupi kila adui wa Kagame ni asset kubwa kwa nchi za SADC dhidi ya kagame, kumbuka Kagame amekuwa na vita na karibu SADC nzima toka enzi zile za kabila mkubwa, uwezekano wa sisi kumuua Nyamwasa or any enemy of kagame, tena ndani ya ardhi ya South Africa haupo.

Mwisho: sijui mtazamo wako unatumia msingi upi. maneno yako haya, nanukuu: "nchi yetu ilikaa bungeni kupiga umbeya kuhusu rwanda" kwa kifupi ni uzushi usio na msingi. Wote tuko hapa Tanzania na tunakumbuka exactly what happened. To set the record straight: mbunge wa chadema aliuliza swali na mheshimiwa waziri Membe akalijibu kiufasaha, vile vile mheshimiwa waziri akamchallenge mbunge wa chadema alete ushahidi, mbunge wa chadema akanywea. Sasa hapo nani mmbea? definetly sio serikali yetu. Vinginevyo labda unikumbushe labda kuna tukio lingine bungeni zaidi ya hilo ambalo ni "umbea" kwa maneno yako, otherwise nadhani hapa umelionea bunge letu.
Vile vile kwa mtu yoyote asiye biased anajua wazi kuwa Tanzania haina uhusiano mbovu na Rwanda, isipokuwa ni Rwanda ndio yenye uhusiano mbaya na sisi.

cc: naiman64 nyumba kubwa kadoda11 binamutz murutongore
 
jMali
Asante kwa such a concise summary. Duh! Kagame yaonekana jamaa hatari sana, haswa kwa michezo ya ujasusi. Lakini kwa nchi yenye nusra imalizike kwa mauaji ya kimbari, labda naweza muelewa kiaina, inabidi awe chonjo sana.
Ila dah! anamalizia mbali kila mpinzani, nchi itayumba siku zote kwa design hiyo.

Lakini hili la hawa Watanzania watatu, nyie ndo mumebadilisha mada ikawa tunajadili uraia wao badala ya lengo la walichokusidia kufanya. Ibainike kwamba kama SA na Tz ni marafiki sana, basi ukitaka kumuua mtu anayelindwa sana na SA, itabidi utumie less suspicious characters na Watz are the best candidates on this. Na kwa vile kunao hata Watz ambao huiba kwa bunduki Bongo, can't be hard to recruit such characters. Sasa wanaokimbilia kubisha eti Watz hawawezi husika na mission kama hiyo mimi naona ulimbukeni tu.
CC: kadoda11
 
1. "Lakini kwa nchi yenye nusra imalizike kwa mauaji ya kimbari, labda naweza muelewa kiaina": Napata shida kuelewa "unamuelewaje" kagame. The guy is a thug. Hayo mauaji ya kimbari kaleta yeye, na yeye mwenyewe ndio muuaji mkuu. He killed Rwandese for 4 years since 1990 up to 1994, he killed a lot more while pretending to "stop" genocide, he then went after all those that ran away from him right inside refugee camps, some of those refugees that returned went missing once they arrived in Rwanda, he then went on to kill Hutu refugees in DRC pretending to fight some unknown "terrorists" while building his image through international PR companies using money from looted Congolese minerals.
Rwanda is the only country in the world that was leading in exporting what it doesn't mine, at the time when the only place those minerals were mined inside DRC were controlled by his army masquerading as RCD-goma, CNDP and later M23, how do you "elewa kiaina" kagame?

2. "Na kwa vile kunao hata Watz ambao huiba kwa bunduki Bongo, can't be hard to recruit such characters": sawa, i agreed that these guys may as well be tanzanians, as long as we don't lose sight of the "dog handler".
 
Don't worry,hawa wapiga kelele JF are not even Tanzanians...most of them are wanted criminals/genociders na familia zao living in TZ,watanzania hawana chuki au akili za hawa criminal propagandist waliojaa JF spreading hate and ocean of lies against Kagame or anything tutsi

Hapo ndipo mnapobugi, na kulopoka kama Kagame alivyolopoka eti atam hit mtoto wa mujini kikwete eheheheh! na bado mkuu. Chata la mchonga hamwezi kuliyumbisha hata kidogo.
Inaonekana kuna dhambi mliyoifanya kwa hao unaowaita ma criminal propagandist. You are very sensitive about them.
Mbona hata siku moja sijawasikia humu wanasema na kuwa oppose kama ninyi mnavyowahukumu watu kuwa ni criminal propagandist?.......LOL!
 
jMali

Vyovyote yaweza kuwa! Ila point hafifu kabisa ni kusema watanzania na nyamwasa wapi na wapi! Kila mtu anajua tumekuwa uhusiano mbovu na rwanda kiasi kwamba nchi yetu ilikaa bungeni kupiga umbeya kuhusu rwanda wakat huko kijijini watu hawana maji safi ya kunywa.

Na hatujui mkulu wetu na wa rwanda wanamambo yao gani, inaweza kuwa hivi kwa kuwa watanzania tunajua kagame na nyamwasa haziwaki na kwa kuwa Tanzania na Rwanda haziwaki pia, basi watanzania tukaamua kumuwinda nyamwasa na kumuua ili kumchafua mbaya wetu kagame, make iko wazi kudhurika kwa Nyamwasa atakayenyoshewa kidole ni kagame ivyo basi kuna uwezekano kabisa watanzania tumetumia hiyo trick lakini bahati mbaya tumenaswa.

Mkuu, wewe tunawasiwasi na uraia wako. Tanzania hawana haja ya ku play dirty game kama hizo. Huyo nyamwasa ana ugomvi na kagame. sasa kwanini TZ tufanye hivyo? kwa maslahi gani? Du! kama wewe ni mbongo kweli ni msaliti. Kwanini unakuwa na mawazo hasi namna hiyo?
 
hawa watanzania wanyongwe kabisa..tumechoka nao
 
Mkuu, wewe tunawasiwasi na uraia wako. Tanzania hawana haja ya ku play dirty game kama hizo. Huyo nyamwasa ana ugomvi na kagame. sasa kwanini TZ tufanye hivyo? kwa maslahi gani? Du! kama wewe ni mbongo kweli ni msaliti. Kwanini unakuwa na mawazo hasi namna hiyo?

Yeyote anae support Rwanda mna wasi wasi na uraia wao, so in the same breath nyie nyote mnaom oppose kagame nasi tuna wasi wasi na uraia wenu. You must have a vested interest in seeing Kagame leave and the history tells us only one group of people fits the description. INTERAHAMWE. There you go. Jichagulie mwenyewe uko kundi gani halafu tuendelee na mjadala.
 
1. "Lakini kwa nchi yenye nusra imalizike kwa mauaji ya kimbari, labda naweza muelewa kiaina": Napata shida kuelewa "unamuelewaje" kagame. The guy is a thug. Hayo mauaji ya kimbari kaleta yeye, na yeye mwenyewe ndio muuaji mkuu. He killed Rwandese for 4 years since 1990 up to 1994, he killed a lot more while pretending to "stop" genocide, he then went after all those that ran away from him right inside refugee camps, some of those refugees that returned went missing once they arrived in Rwanda, he then went on to kill Hutu refugees in DRC pretending to fight some unknown "terrorists" while building his image through international PR companies using money from looted Congolese minerals.
Rwanda is the only country in the world that was leading in exporting what it doesn't mine, at the time when the only place those minerals were mined inside DRC were controlled by his army masquerading as RCD-goma, CNDP and later M23, how do you "elewa kiaina" kagame?

2. "Na kwa vile kunao hata Watz ambao huiba kwa bunduki Bongo, can't be hard to recruit such characters": sawa, i agreed that these guys may as well be tanzanians, as long as we don't lose sight of the "dog handler".

Those are blatant allegations, do you have some source or evidence of such, all this time we have known or heard from the media how he fought off the interharamwe, how or why would you paint history differently.

There could only be either one of two issues here, either we have not been told the true story of Rwanda and there could be monolithic of events covered and concealed away from the world through concerted efforts of the western media and African governments, or may be you're just some interharamwe masquerading as a Tanzanian and trying to stoke up emotions against legitimate government of PK.

Whichever way, the truth will surface someday, but one thing is so clear, we were fed with wretched images of Tutsis and moderate Hutus being butchered. Whoever is behind it all, whether PK or otherwise, will somehow face justice whether here on earth or in the underworld.

Just like the Kenyan case, we have just a few guys being dragged to ICC, but every Kenyan deep down their bones knows the people who should have been taken to the Hague.
 
Back
Top Bottom