jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Mbona unasoma mambo selectively, naona unahangaika kuniita Mtutsi simply because niko open minded. Bwana wee, kuna jinsi historia ya Rwanda inafahamika dunia yote, kama una taarifa tofauti, mbona usiweke na pamoja na ushahidi. Vyombo vya habari dunia yote vilitangaza jinsi Watutsi karibu milioni na Wahutu kadhaa walivyouawa, movie zimetengenezwa vile vile, sasa utabaki kuwaita watu wote dunia yote kuwa Watutsi.
Mwenyewe umeandika kuwa ni Kagame aliua na si vile tumeambiwa muda wote na vyombo vya habari, sasa badala ya kuleta ushahidi unabaki kurusha accusations na kusoma taarifa selectively. Aidha unacheza tu siasa.
Hahahaa. hizo za kwenye red zinatoka straight out of the tutsi's propaganda book, i know them by heart nowadays, ungeanza na moja ningemalizia zingine:
interahamwe, revisionist, genocide denier, genocide minimizer, history changer.....
you obviously belong to this group talked about in this report HAPA CHINI, your work station being KENYA!
read here:
http://rwandansrights.org/wp-conten...-harass-in-the-name-of-dignity-APRIL-2013.pdf