Three Tanzanians found guilty of plot to kill ex-Rwanda army chief

Unacheza siasa ila huna uzoefu, mimi nilikupa mfano wa uwezekano wa watoto kuzaliwa strategically, wewe ukaburuta a whole refugee camp ambayo sioni vile inaingiana na mipango ya espionage. Kama hujui kucheza siasa naona utahangaika sana.

hahahaha. Huyo mtoto aliyetelekezwa na baba yake atakujaje kuwa spy wa Rwanda? sana sana labda atakuwa spy wa kenya ndani ya Rwanda. Kwa upande wa pili watoto wa wakimbizi wa Rwanda ndani ya DRC are by default Rwandan citizens.
 
Narejelea nilichosema na sitarudia, ikatokea kwa bahati mtu aje kuwa kiongozi na hatimaye kupata taarifa kuhusu alikotokea baba yake, anaweza akalinda babu zake. Obama sasa hivi hukumbuka asilia yake hata kama baba alimtelekeza zamani. Issue ya watoto ndani ya refugee camp sielewi umuhimu wake, labda wewe ueleze maana ndiye ulianzisha hiyo. Haya kwaheri maana naona chuki zako kwa Kagame zitasababisha ukose kuelewa chochote hadi hata asubuhi.
 
1. kwa msimamo wako are you saying then, that kenya should not have any somali politician in at any level? as they are likely to be patriotic to somalia rather than kenya? if that is the case, i feel pity for kenya, given the number of somali kids by kenyan ladies....to think that all these may be spies for mogadishu, hahahaha.

2. Issue ya watoto wa wanyarwanda DRC unajifanya tu huelewi kwa makusudi. mtoto aliyetelekezwa kenya aje kuwa spy wa Rwanda, lakini mtoto wa mkimbizi wa Rwanda DRC usione umuhimu wake? Okay? let's leave it like that. Mi najua tatizo lako nini, lakini kwa kuwa umechoka labda tutajadili another day.
 
Hahahahhahahahaaaa! huyu lawmaina78 ana sera zile zile za rwanda. May be ana maana kuwa hiyo espionage wameicheza wasomali. Previously kenya pia wana ukabila. Wakina kenyata ambao ni wakikuyu wanacheza the same game.
Mi nawashauri kuja huku bongo waone busara na hekima alizotumia nyerere ku organize the biggest country(Tanzania) na kuweza kuwaweka watu wa makabila tofauti pamoja na bila kuwa na kabila moja tu kama ruler wa serikali.
Tatizo lao wanaiga mambo bila kuelewa. Wakiongea kiingereza kizuri eti wanaona ndiyo ujanja. Ngoja tuone watanzania tutaletaje demokrasia rwanda. Kama tuliweza south Africa, Rwanda lazima tuwaweke sawa. Na hii itakuwa operation kubwa kuliko ile ya uganda..........
 
Narejelea nilichosema na sitarudia, ikatokea kwa bahati mtu aje kuwa kiongozi na hatimaye kupata taarifa kuhusu alikotokea baba yake, anaweza akalinda babu zake. Obama sasa hivi hukumbuka asilia yake hata kama baba alimtelekeza zamani. Issue ya watoto ndani ya refugee camp sielewi umuhimu wake, labda wewe ueleze maana ndiye ulianzisha hiyo. Haya kwaheri maana naona chuki zako kwa Kagame zitasababisha ukose kuelewa chochote hadi hata asubuhi.

Ikatokea kwa bahati?? Low thinking capacity poor kenyan. Ina maana watoto wakiwa ndani ya refugee hawawezi ku implement the idea you are talking about? watch out........
Wewe una kaa baa unatoa story za IKITOKEA BAHATI lakini kuna watu wanafanya kazi. Siyo kubahatisha.
 
jamaa nimemkamata pabaya anashindwa achomoke vipi. lawmaina78amechukulia by default kuwa huyu mtoto wa kenya baba yake lazima atakuwa ni mtutsi (ingawa katumia neno mnyarwanda kuficha hilo). Wakati kwa upande wa pili kuna MAELFU ya watoto wa kihutu wamezaliwa DRC vile vile. Mtoto wa baba mtutsi na mama mkenya, pamoja na hawa watoto wa kihutu WOTE WAMEZALIWA NJE YA RWANDA. Hivyo WANA HADHI SAWA. Huyu spy mmoja, tena wa "bahati mbaya", maana anaweza akikua asiwe na mzuka na Rwanda wala nini, afterall baba yake si alimkimbia? atafua dafu vipi kwa watoto maelfu wa DRC?
The same thing ndio inamuumiza kichwa kagame, kwa kuwa hawa watoto ndio watakuja kuwa headache kwake baadae. Ndio maana anataka kuwamaliza huko huko DRC kila siku ili hata wakirudi warudi chini yake. Yeye mwenyewe leo yuko madarakani Rwanda lakini katokea ukimbizini Uganda alikokulia toka ana miaka 3 mpaka utu uzima! Anajua the same way watoto MAELFU wa wakimbizi wa kihutu watakuja kulianzisha tu, hilo ni guarantee.
 
Back
Top Bottom