Moderator wa PM Mentor eti hili linawezekana?
Sifa gani hizo za kunilevya??
Usiache kuniambia shogaangu suri nitakununulia karanga za kuangalizia movie.!Hujantaja sasa, nkimuona nkwambie au niache?
Usiache kuniambia shogaangu suri nitakununulia karanga za kuangalizia movie.!
ondoa shaka,mwaka huu lazima tusutwe na matarumbeta tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe
Teh teh..
Nayakodisha lin mnipe tenda jaman
Itakuwa poa sana... Kuna mtu natamani kuona PM zake aiseew, ila tuseme ukweli. Kama mods wana access ya PM wanafaudu!!!
ondoa shaka,mwaka huu lazima tusutwe na matarumbeta tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe