Na wakusikia awe amesikia .Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.
Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:
1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.
2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.
3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.
4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...
5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...
Uvjidanganye ntakosa ivo vitu wala sina shida navyoo
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.
Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:
1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.
2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.
3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.
4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...
5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...
Hahaha pachaa wewe chokoza tu ,,,,,,,,,,,,,nasikia pm huwa zinatiririka tu ukipata watu sahihi.Mkuu mie PM yangu ipo Blocked nini mbona haina chochote maana jana mpaka nkampigia maxence kumuuliza mbona hata tusi situmiwi PM labda mbovu
Aseeeeeh .........Naaaam yaan upogo poaa kisengee kwa maushaurii wala hunaga haraka aiseeee
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.
Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:
1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.
2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.
3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.
4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...
5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.
Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:
1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.
2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.
3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.
4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...
5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...
Herii yakoo wewe uliesoma English medium utuwache na ukayumba wetu
Nimegundua thread zenye ushabiki ,unaa na umbea wa maisha binafsi ya members humu huwa zina nafasi kubwa ya kubamba .......bila kusahau zile zenye ushabiki wa kijinsia miss neddy.
Try to relax and enjoy life, humo pm watu tumeshazushiwa sana ila maisha yanasonga na hatujabadilika kitu.... Tupo vile vile.
Relax kula maisha Mrembo.
hahajaha toa vivid examples
Naaaam yaan upogo poaa kisengee kwa maushaurii wala hunaga haraka aiseeee
mbona karibu zote hzo ni latest, umeziacha nyingi za earlier aug.