Thread zilizobamba mwezi August MMU

Wee nyongo huna??? Ungeishije bila nyongo

Try to relax and enjoy life, humo pm watu tumeshazushiwa sana ila maisha yanasonga na hatujabadilika kitu.... Tupo vile vile.
Relax kula maisha Mrembo.
 
Shenzi zakooo weweee kama sio ni mmoja wa waimba taarab kuna mtu kakuita huku ungepita kimyakimya

kwa kuwa sikukutaja hewala
ila hapa sio mahala pa vita
usitumie jf kupata maadui tumia kupata marafiki
i love u
 
kwa kuwa sikukutaja hewala
ila hapa sio mahala pa vita
usitumie jf kupata maadui tumia kupata marafiki
i love u

Hata nikiwa na maadui mia jf unazan inanipunguzia nn??? Mtu anichokoze nmuangalie tu et kisa urafki
 
Hata nikiwa na maadui mia jf unazan inanipunguzia nn??? Mtu anichokoze nmuangalie tu et kisa urafki

Hutopungukiwa kitu ila kuna baadhi ya vitu utakosa
 
Hakuna thread iliyonivunja mbavu kama ya nikinya najaza sinki,, na ya siku niliyopanda ndege aiseee mbavu ziliumaaa
 
Bora unisaidie kuniitia.....ivi watu8 umeshindwa kuimage ids za uyu mtu maana naona mnamuwacha tu mbaya zaid ids zake zote znajulikana.....au unaogopa ban maana mhusika inaonesha ana mtandao jf

just imagine cku server ya jf itakapo corrupt na kutoa majina halisi badala ya ID hizi tutakamatana uchawi humu unaeza kuta unatukanana na ma mkwe humu
cc; TATIANA
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.

Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:

1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.

2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.

3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.

4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...

5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...

Bora unisaidie kuniitia.....ivi watu8 umeshindwa kuimage ids za uyu mtu maana naona mnamuwacha tu mbaya zaid ids zake zote znajulikana.....au unaogopa ban maana mhusika inaonesha ana mtandao jf
 
hahaha mi shabiki jina tu eeeh
in topic kwanini hizo thread zimebamba toa maoni yako
Nimegundua thread zenye ushabiki ,unaa na umbea wa maisha binafsi ya members humu huwa zina nafasi kubwa ya kubamba .......bila kusahau zile zenye ushabiki wa kijinsia miss neddy.
 
Last edited by a moderator:
Try to relax and enjoy life, humo pm watu tumeshazushiwa sana ila maisha yanasonga na hatujabadilika kitu.... Tupo vile vile.
Relax kula maisha Mrembo.

Mkuu mie PM yangu ipo Blocked nini mbona haina chochote maana jana mpaka nkampigia maxence kumuuliza mbona hata tusi situmiwi PM labda mbovu
 
mbona karibu zote hzo ni latest, umeziacha nyingi za earlier aug.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…