St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,645
- 4,533
hili jukwaa la kijinga sana mkuu,sijui kwa nini linaendelea kuwepomi huwa nikifungua hili jukwaa sijui ni kitu gani kinaendelea hivyo huwa napita tu!!
Kweli.Mods nawaomba mtafute jinsi ya kutofautisha threads za majukwaa zisingiliane.Kuna thread nyingine zinakela
Ikizingatia JF siku hizi ushakuwa mtandao ambao watu tunasoma na wake,watoto,make ni sehemu ya habari mpya mpya.
kweli.mods nawaomba mtafute jinsi ya kutofautisha threads za majukwaa zisingiliane.kuna thread nyingine zinakela
ikizingatia jf siku hizi ushakuwa mtandao ambao watu tunasoma na wake,watoto,make ni sehemu ya habari mpya mpya.
dada,huyu kaboka mchizi wala asikukondeshe,namwandalia ***** na nikimalizana naye hata panya wa nyumbani kwake hawatasalimika.Huyu masulupwete inaelekea alifukuzwa kijijini kwao kwa kumnililiyu mbuzi wa kijiji.Jamani mnalazimishwa kuingia chitchat???
Si muende kwenye majukwaa mnayoyaona yanawafaa???
Kwa uchunguzi mwepesi tu nyie ndo mnaotuchafulia jukwaa.
Mkikipewa za uso huko kwenye majukwaa yenu, mnakimbilia chitchat kuja kutema pumba zenu.
Mkikosa ushirikiano na huku, mnaamua kuanzisha threads hovyo hovyo eti mnajifanya kidis!
Kwendeni zenu hamna lolote,
Wizi mtupu!
Ukweli daima unauma!!! To hell with chit chat
naipendatz pole kwa kutojua kuwa kuna sehemu umechemka.
Chit chat, ni porojo, ni jukwaa la kuondoa stress.
Chit chat haiwezi kuwa sawa na jukwaa la siasa.
Jukwaa la siasa mnabishana na kushindana kwa hoja.
Chit chat tunashindana kwa mbwembwe, gambo tambo na majivuno. Wana chit chat ni ndugu, ndo maana huwa tunakutana.
Jukwaa la siasa ni jukwaa la wanafiki, wazandiki na wanafiki. Hamna upendo wa dhati.
naipendatz tuwache tupumuwe, mwehu mkubwa weee uliyeshindwa maisha
dada,huyu kaboka mchizi wala asikukondeshe,namwandalia ***** na nikimalizana naye hata panya wa nyumbani kwake hawatasalimika.Huyu masulupwete inaelekea alifukuzwa kijijini kwao kwa kumnililiyu mbuzi wa kijiji.
modes apigwe ban huyu kwani ameanzisha thread yenye kuwakashifu members wa jf na ipo kwenye rules na regulations za jf
Umeona eh?
Mnaondoa stress kwa kudiscuss pumbaz na ujinga ujinga!!!???? Wewe kweli ni mbumbumbu!!! Mnatufedhehesha watz na pumba zenu, hii ni internet age, pumba mnazopost hapa zinasomwa dunia nzima maskini wa mawazo wewe
huyu mbona mchache tu.
Natarajia afungue id nyingine tena ili arudi kudis!
.....once a douchebag always a douchebag.....
Umepekua maungo yetu hata utuite siye watoto au tuna mambo ya kitoto???
Huo ukifaruhande wako peleka kwingine ila sio kuja kukosea watu heshima, watu wengine sijui brain zenu zimaongozwa kwa remote control...mawazao kama wanasesere vile!