THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Jamani mnalazimishwa kuingia chitchat???
Si muende kwenye majukwaa mnayoyaona yanawafaa???

Kwa uchunguzi mwepesi tu nyie ndo mnaotuchafulia jukwaa.
Mkikipewa za uso huko kwenye majukwaa yenu, mnakimbilia chitchat kuja kutema pumba zenu.
Mkikosa ushirikiano na huku, mnaamua kuanzisha threads hovyo hovyo eti mnajifanya kidis!

Kwendeni zenu hamna lolote,
Wizi mtupu!
 
Huyu anaweza kuwa mwanachitchat mzoefu ila kaamua kuchangamsha jamvi..punguzeni munkari maana haya mambo ya multiple ids yamekuwa fashion...
 
Kweli.Mods nawaomba mtafute jinsi ya kutofautisha threads za majukwaa zisingiliane.Kuna thread nyingine zinakela
Ikizingatia JF siku hizi ushakuwa mtandao ambao watu tunasoma na wake,watoto,make ni sehemu ya habari mpya mpya.

Atleast hapo kwenye red umeongea kitu.
Sio kujifanya mna busaaara, ilihali hata kule siasa wengi wenu mnavurunda tu.

Mkiwekewa topic badala ya kudiscuss uhalisia mnakimbilia kucomment CHADEMA/CCM.
Mkienda JF Doctor badala hata msome tu, mnaandika tu mradi mmepita!
Mkijitahidi kwenda MMU, mnasimulia maigizo matupu na hadithi za kusadikika!

Sio bure . . .
Mmechengwa nyie, so msitughasi!
 
Jamani mnalazimishwa kuingia chitchat???
Si muende kwenye majukwaa mnayoyaona yanawafaa???

Kwa uchunguzi mwepesi tu nyie ndo mnaotuchafulia jukwaa.
Mkikipewa za uso huko kwenye majukwaa yenu, mnakimbilia chitchat kuja kutema pumba zenu.
Mkikosa ushirikiano na huku, mnaamua kuanzisha threads hovyo hovyo eti mnajifanya kidis!

Kwendeni zenu hamna lolote,
Wizi mtupu!
dada,huyu kaboka mchizi wala asikukondeshe,namwandalia ***** na nikimalizana naye hata panya wa nyumbani kwake hawatasalimika.Huyu masulupwete inaelekea alifukuzwa kijijini kwao kwa kumnililiyu mbuzi wa kijiji.
 
Naipendatz pole kwa kutojua kuwa kuna sehemu umechemka.
Chit chat, ni porojo, ni jukwaa la kuondoa stress.
Chit chat haiwezi kuwa sawa na jukwaa la siasa.
Jukwaa la siasa mnabishana na kushindana kwa hoja.
Chit chat tunashindana kwa mbwembwe, gambo tambo na majivuno. Wana chit chat ni ndugu, ndo maana huwa tunakutana.
Jukwaa la siasa ni jukwaa la wanafiki, wazandiki na wanafiki. Hamna upendo wa dhati.
Naipendatz tuwache tupumuwe, mwehu mkubwa weee uliyeshindwa maisha
 
Last edited by a moderator:
Mnaondoa stress kwa kudiscuss pumbaz na ujinga ujinga!!!???? Wewe kweli ni mbumbumbu!!! Mnatufedhehesha watz na pumba zenu, hii ni internet age, pumba mnazopost hapa zinasomwa dunia nzima maskini wa mawazo wewe
naipendatz pole kwa kutojua kuwa kuna sehemu umechemka.
Chit chat, ni porojo, ni jukwaa la kuondoa stress.
Chit chat haiwezi kuwa sawa na jukwaa la siasa.
Jukwaa la siasa mnabishana na kushindana kwa hoja.
Chit chat tunashindana kwa mbwembwe, gambo tambo na majivuno. Wana chit chat ni ndugu, ndo maana huwa tunakutana.
Jukwaa la siasa ni jukwaa la wanafiki, wazandiki na wanafiki. Hamna upendo wa dhati.
naipendatz tuwache tupumuwe, mwehu mkubwa weee uliyeshindwa maisha
 
Mnaondoa stress kwa kudiscuss pumbaz na ujinga ujinga!!!???? Wewe kweli ni mbumbumbu!!! Mnatufedhehesha watz na pumba zenu, hii ni internet age, pumba mnazopost hapa zinasomwa dunia nzima maskini wa mawazo wewe

.....Once a douchebag always a douchebag.....
Umepekua maungo yetu hata utuite siye watoto au tuna mambo ya kitoto???
Huo ukifaruhande wako peleka kwingine ila sio kuja kukosea watu heshima, watu wengine sijui brain zenu zinaongozwa kwa remote control...mawazao kama wanasesere vile!
 
Sababu ya 1000000000000 kukufanya uwe kigoli wa chit chat!!!!!!!!!!!!!
.....once a douchebag always a douchebag.....
Umepekua maungo yetu hata utuite siye watoto au tuna mambo ya kitoto???
Huo ukifaruhande wako peleka kwingine ila sio kuja kukosea watu heshima, watu wengine sijui brain zenu zimaongozwa kwa remote control...mawazao kama wanasesere vile!
 
Asprin mpitie Bishanga mje nae kuna lijamaa malaria imepanda kichwani...!
Litakiwa kufungwa sindano ya Ng'ombe.
Naipendatz we ni kia......ziiiiii!
Unafikiria kwa kutumia masabu......riiiiii
Ulikokuja umebuuu....gi...!
Rudi ulikotoka ukajipange kwanza.
Wewe ni kaa zer....o...!
Wa kwenye gazet....i...!
Km nimekuudhi nenda Polisi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom