Thread zangu hazichangiwi

Umezaliwa jana humu ndani, hata akili bado haijakaa sawa iweje unataka kutembea kama kina afrodenzi. ukikua busara itaongezeka na hapo utapata busara ya kusikilizwa humu ndani.
 
Tukana tukana kama Nyani ngabu utapata likes na michango mingi
 
Eyooo wapi papaa Masanilo.......
Wapi mamaa AshaDiiii........
Wapi mamaaaa FaizaFoxy.......
Wapi mkuu Invisible..........
Mamaaa Mamdenyi upoo......
Papaa Mwita25 jeeeee.......
sasa kijana umeingia jana tu halaf unakuja na mikelele kibao....usipokuwa makini tutakusakizia BAN.....ni thread gani hasa ulizoweka hapa jamvini ambazo hazikuchangiwa? au ndio style yako ya kutafuta wachangiaji kwa kulalamika?
tunakusamehe kwa leo lkn ukirudia mtindo wako wa kutafuta huruma kwa kulalamika basi siku zako zinahesabika!!!!!
 
we naye na nyani ngabu wako!... bado unamtaka tu...sasa akikujibu usianze kuomba msaada kwa moda maana unamuanzaga mwenyewe.
au na wewe ndio maana ulianzisha mitusi na nyani ngabu...ulikuwa unataka pomo nini?
Tukana tukana kama Nyani ngabu utapata likes na michango mingi
 
kajisaidie njia panda.
tena haja kubwa na ajisaidie mchana kweupeeeeeeee wakati watu wako wengi wanapitapita....otherwise hata akijisaidia njia panda halafu gizani haitamsaidia....akimalizaq kujisaidia avunje na nazi nne akielekea kila upande wa njia. baada kuvunja nazi aburuze masaburi yake kuelekea kila upande wa njia.....hapo dawa itakuwa imekamilika na baada ya siku tatu atakuwa Premium member hata bila kuchangia senti JF
 
Unapenda sana Kuchangiwa. Shauri yako, asije akapita kaka Cameroon hapa!
 
tena haja kubwa na ajisaidie mchana kweupeeeeeeee wakati watu wako wengi wanapitapita....otherwise hata akijisaidia njia panda halafu gizani haitamsaidia....akimalizaq kujisaidia avunje na nazi nne akielekea kila upande wa njia. baada kuvunja nazi aburuze masaburi yake kuelekea kila upande wa njia.....hapo dawa itakuwa imekamilika na baada ya siku tatu atakuwa Premium member hata bila kuchangia senti JF

you made my day, asante mkuu.
 
Jamii forum sio kama feisbuku hapa ukitoa mada aka thread aka uzi aka sredi wa mashiko lazima watu wachangie tofauti na feisbuku kule ukitoa mada za mashiko hawachangii mpaka utoe pumba ndo wanachangia
 
wa kike au wa kiume?

B' yasijekukutokea ya Kudai pesa urudishiwe walau hata nusu... Jamaa ni me leo kaniambia ka serve jina la mkewe under my name ya AshaDii na mtoto wake wa pili ataitwa Faiza Foxy....lol... Mzima wewe??
 
Eyooo wapi papaa Masanilo.......
Wapi mamaa AshaDiiii........
Wapi mamaaaa FaizaFoxy.......
Wapi mkuu Invisible..........
Mamaaa Mamdenyi upoo......
Papaa Mwita25 jeeeee.......

Jole mphamvu na bakonzi... mutu ya mbombela!
 
Back
Top Bottom